LukuviKwani Tanzania tuna upungufu wa wanawake wenye uwezo wa kufanya kazi kama hiyo?
Hakuna anayeuliza maswali wakati nafasi zote za juu zinaposhikiliwa na wanaume, kwa nini wakati huu na enzi hii tuendelee kuwa katika ujima wa kuhoji uwezo wa uongozi wa binaadam wenzetu kwa misingi tu ya wao kuwa wanawake.
Rais Samia asiogope kumpendekeza kwa Kamati Kuu ya Chama chake mtu anayemwona anafaa kuwa msaidizi wake kwa kuhofia tu kwamba ni mwanamke.
Tanzania iwe na ujasiri wa kuwa nchi ya kwanza duniani kwa kuongozwa na wanawake katika safu yao ya juu kabisa kiuongozi.
Kwa vile umeni'quote', ngoja nikuulize swali.Lukuvi
Membe
Kwan uzi unahusu wanawake huu au nan wa kua vice[emoji3][emoji3]Kwa vile umeni'quote', ngoja nikuulize swali.
Hawa nao ni wanawake?
Kwani Mzee Magu alichaguliwa au kushinikizwa kumchagua mtu fulani kuwa makamo wake?
Naona miuzi imekuwa mingi!
Eeenh Heeee,Huwezi amini mara anachaguliwa Dkt Ummy Mwalimu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si zamu yao bana?! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Kwani kuna kifungu chochote nimetaja kinasema hivyo, acha ushamba soma tena post.Eeenh Heeee,
Hakuna popote palipoandikwa kuwa ni "zamu yao", hilo umelizusha wewe.
Kama Rais ataona pendekezo lako, na akakubaliana nawe, sina shida naye. Bila shaka kutakuwa na vigezo atakavokuwa amevifikia.
Hapana.Kwan uzi unahusu wanawake huu au nan wa kua vice[emoji3][emoji3]
Tulia mkuu, pametokea mkanganyiko uliofanywa na modrator aliyefanya uamzi wa kuunganisha mada bila ya kupima uhusiano wa mada mbili.Kwani kuna kifungu chochote nimetaja kinasema hivyo, acha ushamba soma tena post.
Bashiru tulia uchakatwe Ccm ina wenyeweKwani Mzee Magu alichaguliwa au kushinikizwa kumchagua mtu fulani kuwa makamo wake?
Naona miruzi imekuwa mingi!
Mzee alikuwa mbinafsi na aliota mapembe kiasi kwamba yeye na kundi lake walitaka kutaifisha chama na nchi kwa manufaa yao,Kwani Mzee Magu alichaguliwa au kushinikizwa kumchagua mtu fulani kuwa makamo wake?
Naona miruzi imekuwa mingi!
Kwahiyo hakuna Mkristo anayefaa hapo katika Wakristo wote mpaka ujaze Waislam kwenye nafasi hizo zote za juu?Really?
Huo ndiyo naita ujinga. Uongozi siyo dini. Anayefaa ni yule ambaye anaiweza hiyo kazi kuliko mwingine yoyote. Wapi uliona CV ya kazi ikiwa na dini kama sifa mojawapo? Kama dini ni sifa ya hiyo kazi, kwa nini wewe usiombe uteuliwa kwa vile ni mkristo!
Hiyo ni kazi ya Mama Samia, tena nafikiri angemchagua Mama Janeth Magufuli tu mfyuuuuu!Kwani Mzee Magu alichaguliwa au kushinikizwa kumchagua mtu fulani kuwa makamo wake?
Naona miruzi imekuwa mingi!