Kwani Mzee Magu alichaguliwa au kushinikizwa kumchagua mtu fulani kuwa makamo wake?



Naona miruzi imekuwa mingi!
Hiyo ni kazi ya Mama Samia, tena nafikiri angemchagua Mama Janeth Magufuli tu mfyuuuuu!
 
Tupeni mrejesho wa maazimio ya kikao hicho. Maana nimeona kuwa Slow Slow ataongea ila uzi ukawa umechacha hamna kinachoendelea.
 
Mbona kikwete na mwinyi makamu wake wote walikuwa waislamu na wanaume hawakuwa jinsia tofauti
Naomba nikujibu, ndio walikuwa waislamu ila mawaziri Wakuu na jaji mkuu alikuwa wakristo. Tofauti na sasa wote waislam
 
Hiyo ni kazi ya Mama Samia, tena nafikiri angemchagua Mama Janeth Magufuli tu mfyuuuuu!

..Magufuli aliwahi kusema chaguo lake kwa VP lilikuwa Hussein Mwinyi lakini dakika za mwisho chama kikampendekeza Mama Samia Suluhu.
 
Tulia mkuu, pametokea mkanganyiko uliofanywa na modrator aliyefanya uamzi wa kuunganisha mada bila ya kupima uhusiano wa mada mbili.

Sitaki tuanzishe malumbano hapa kwa makosa ya mtu mwingine.
Sawa [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…