KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Hiyo turufu umeipoteza mkuu Joka...mimi naweka karata yangu kwa majaliwa kuwa VP.
..halafu tutapata PM mpya mwenye elimu/shule nzito.
UsiwadharauHuwezi amini mara anachaguliwa Dkt Ummy Mwalimu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si zamu yao bana?! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Kamati kuu mbili zinazosimamia CCM na nchi hii kesho zitaamua Rais amteue nani kuwa VP na nani PM.Inawezekana Raisi aliyepita alipendekeza kwa Makamu ampe nani umakamu kama ukienda mbele ya haki.
Ila nashauri. Makamu asifuate mapendekezo hayo, na asiogope. Ampe umakamu mtu sahihi.
Kulinda maono ya aliyepita tena, mwacheni apumzike.Kamati kuu mbili zinazosimamia CCM na nchi hii kesho zitaamua raisi amteue nani kuwa VP na nani PM.
Kuna kila dalili CCM mpya ikashinda kwani ina nguvu itokanayo na mazee wengi kuwepo kwenye serikali na tayari VP mtarajiwa amefanya yake akiwa na timu yake yaani kujiimarisha.
Lengo ni kulinda maono ya aliepita na uchaguzi wa 2025 si vinginevyo.
Huu ni mtihani kwa wazee JK na Karume.
Katiba yenu inahalalisha mbunge kuwa na hiyo nafasi na si mtu asiye mbunge.Kwahiyo majaliwa ataacha ubunge?
Weweeee yaani hapa sasa ndo tunahitaji mtu wa kutupiga hadi makofi, acha anko Magu alikuwa anatupa pumbafu tu, kwa sasa inahitajika pumbafu na makofi, wakinikuta nimeboronga nibugie pumbafu na makofi.Tunatakiwa tusahau walau kwa muda aina hii ya majina! Sijui Injinia Mfugale, Doto James, Kabudi, Mpango, Kalemani!! and co. Ltd
Kamuulize yeye ila wasukuma mtatusamehe kidooogoKwani Mama Suluhu ni kabila gani?
HatufaiHiyo turufu umeipoteza mkuu Joka.
Haiwezekani kamwe Majaliwa kuwa VP wakati huu kwa sababu dhaifu, lakini ni sababu.
Atabaki kuwa Waziri Mkuu, lakini uwongo aliousema akijua ni uongo umempunguzia sana heshima aliyokuwa nayo.
Ni bora kabisa angenyamaza na kuendelea na ziara yake bila kujali maswali aliyoulizwa.
Maisha lazima yaendeleeViti vya Wahudhuriaji wa Msiba havijapangwa bado hadi Ratiba ya Msiba (Mazishi) haijapangwa tayari mmeshaanza kuja na hopeless Speculations zenu, hivi mkiambiwa nyie ni Wachawi mtabisha au Kukataa?
Hatari sana.weweeee yaani hapa sasa ndo tunahitaji mtu wa kutupiga hadi makofi, acha anko Magu alikuwa anatupa pumbafu tu, kwa sasa inahitajika pumbafu na makofi, wakinikuta nimeboronga nibugie pumbafu na makofi.
Sisi ambao tayari tuna 18 na kuendelea tunahitaji kuandaa taifa la watoto na wajukuu wetu, la kwetu tulisha tumia na zaidi.
UNAHITAJIKA MCHAKAMCHAKA ZAIDI,
KWA KIFUPI TUSEME HATUPOI!
Mh Magu hakuzingatia dini wala ukanda. Ni zamu yao hao waislam kutuendesha watakavyo. Walinyanyasika sana utawala wa MaguYote 9 10 tuzingatie suala la dini. Ili kuleta balance na kuondoa maneno. Rais Muslim basi makamo awe Mkristo.
Rais samia suluhu-Muslim
Makamo.........
Waziri mkuu kassim majaliwa-muslim
Jajimkuu Ibrahim hamisi-muslim
Hapana aliwekwa kwa misingi ya UPENDELEODotto wa Hazina hata tatizo kaka wa watu yuko very humbled na makini na chapakazi.
Nashauri afikiriwe kuendelea au kuinuliwa zaidi ya hapo alipo.
Acha hizo wewe. Ingekuwa rahisi hivyo Magu asingefikisha hata mwakaMakamba akiwa makamu atamuua rais ili yeye awe rais
Zamu ya waislamu kutesa. Tuliwanyanasa sana na hatukuwahi kuwasikiliza zaidi ya kuwakejeli kuwa hawana shulePale ni Mkristo Ili kubalance muislamu hawezi pewa.