mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Ok jakaya kikwete vise sheikhn and ghalib billllllaliiiKigezo cha kwanza kwenye majina lazima awe mkristo ili kubalance haiwezekani wote wakawa waislamu haya tuanze upya kufikiria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok jakaya kikwete vise sheikhn and ghalib billllllaliiiKigezo cha kwanza kwenye majina lazima awe mkristo ili kubalance haiwezekani wote wakawa waislamu haya tuanze upya kufikiria
Kwani hao watakaoshika usukani wanakuja kuwa viongozi wa dini?Maisha yamegeuka sio... tulizoea hotuba za kanisani sio.... Watu wameshika usukani sasa.
Siyo anaapishwa halafu ndiyo mazishi?Mazishi kwanza
Pamoja sana
Muendesha serikali ya Tanzania, Chief Secretary, Chief of Public Service, Secretary to the Cabinet, Secretary to National Security Council, Head of all Permanent Secretaries alikuwa mtu mmoja tuu Na ni Msukuma Amb. Paul Rupia.Point yako haina mashiko ndiyo maana umeshindwa kujibu swali langu la kwanini Mwinyi hakuteua VP msukuma.
All the best to January Maka
Katiba mpya haraka baada ya mariadhiano ya kitaifa.Katiba mpya itatusaidia tusirudie kosa, wananchi ndio wenye nchi sauti yao ndio isikilizwe tuhusishwe kwenye vipaumbele vya maendeleo yetu tupange matumizi sahihi ya kodi zetu.Kwani hao watakaoshika usukani wanakuja kuwa viongozi wa dini?
Ki ustaarabu itabidi azikwe kwanza, japo Sheria inaweza kuwa tofauti.Siyo anaapishwa halafu ndiyo mazishi?
Maana Nchi haina Rais wala Mkuu wa Majeshi.
Hapana ttzo mnalewa Sana mnasahau wajibu wenu ni nn.Msiie kupewa uwaziri,ukurugenzi tu mmeprovu failure sio awamu hii tu.John Momose Cheyo aka Mzee Mapesa anafaa sana kuwa Vice President. Wasukuma lazima tuendelee kukaa mezani, japo nr 2
kama Rais akawa muislamu na makamu wake ni muislamu basi waziri mkuu razima awe mkristo,watu watatu juu lazima kuwe mchanganyiko wa diniTulikuaga na Jakaya na Shein, Jakaya na Gharib Bilali..
Kipi ulipunguza? Ambacho wakati wa Magufuli na Samia ulikiongeza?
Majaliwa tu? Na huyu je anayeingia madarakani! Si alisema jamaa yuko safi anatusalimia? Sijui ilikuwa chini au juu ya kiapo, hapo ndio sijui.Majaliwa muongo muongo... Tena mbela ya taifa bora angekaaga kimya ....
HAFAI
Zile siku saba wamekaa na maiti wakijidai wanauguza kumbe wanaangalia namna ya :-Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.
Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndo anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.
Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais ukizingatia kuwa lazima atoke Bara kwani Mama Samia ametokea Zanzibar?
Mimi binafsi nahisi Mheshimiwa January Makamba anafaa sana kuchukua hiyo nafasi ukizingatia ameshafanya kazi kwa karibu na Mama Samia kwa muda mrefu kipindi akiwa Waziri.
R.I.P Magufuli.
Sure,tufanye mama mskinda,Nape,mtaka ,chenge,doroth gwajima..kama Rais akawa muislamu na makamu wake ni muislamu basi waziri mkuu razima awe mkristo,watu watatu juu lazima kuwe mchanganyiko wa dini
1.Mhe. George MkuchikaPoleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.
Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndo anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.
Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais ukizingatia kuwa lazima atoke Bara kwani Mama Samia ametokea Zanzibar?
Mimi binafsi nahisi Mheshimiwa January Makamba anafaa sana kuchukua hiyo nafasi ukizingatia ameshafanya kazi kwa karibu na Mama Samia kwa muda mrefu kipindi akiwa Waziri.
R.I.P Magufuli.
Safari hii hatutalewa madaraka tunaahidi..Hapana ttzo mnalewa Sana mnasahau wajibu wenu ni nn.Msiie kupewa uwaziri,ukurugenzi tu mmeprovu failure sio awamu hii tu.
Mnalewa Sana madaraka
hivyo ndivyo ulivyosoma wewe kwaupande wa pili wa Rais haujaona kama alikuwa anajifanya mkarimu?Ukarimu gani? Kutishia watu watafungwa ndo ukarimu??
Katika Urais wa mama huyu, January Makamba anarudi kwenye cabinet japo si lazima awe PM...Tumpe January Makamba jamani, mnaonaje ??
Acha kuchekesha!!! Umeanza lini comedy?!! Uyu Kabudi ndio awe makamu wa Rais?!! Itakuwa ni kupatwa kwa umakamu!! Kabudi ni mshamba, mnafiki hafai kuwa kiongozi kwenye zama hizi za utandawazi na utawala wa haki za kibinadamu, hatutaki tena kiongozi mwenye mawazo ya kijamaa na propaganda.Atafaa, maana kiukweli sioni mtu wa kuvaa viatu vyake zaidi ya Kabudi, wengine wote nikiwaangalia nawaona ni rojo rojo kwa mabeberu