Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Point yako haina mashiko ndiyo maana umeshindwa kujibu swali langu la kwanini Mwinyi hakuteua VP msukuma.
Muendesha serikali ya Tanzania, Chief Secretary, Chief of Public Service, Secretary to the Cabinet, Secretary to National Security Council, Head of all Permanent Secretaries alikuwa mtu mmoja tuu Na ni Msukuma Amb. Paul Rupia.
 
Kwani hao watakaoshika usukani wanakuja kuwa viongozi wa dini?
Katiba mpya haraka baada ya mariadhiano ya kitaifa.Katiba mpya itatusaidia tusirudie kosa, wananchi ndio wenye nchi sauti yao ndio isikilizwe tuhusishwe kwenye vipaumbele vya maendeleo yetu tupange matumizi sahihi ya kodi zetu.
 
John Momose Cheyo aka Mzee Mapesa anafaa sana kuwa Vice President. Wasukuma lazima tuendelee kukaa mezani, japo nr 2
Hapana ttzo mnalewa Sana mnasahau wajibu wenu ni nn.Msiie kupewa uwaziri,ukurugenzi tu mmeprovu failure sio awamu hii tu.
Mnalewa Sana madaraka
 
Tulikuaga na Jakaya na Shein, Jakaya na Gharib Bilali..

Kipi ulipunguza? Ambacho wakati wa Magufuli na Samia ulikiongeza?
kama Rais akawa muislamu na makamu wake ni muislamu basi waziri mkuu razima awe mkristo,watu watatu juu lazima kuwe mchanganyiko wa dini
 
Majaliwa muongo muongo... Tena mbela ya taifa bora angekaaga kimya ....

HAFAI
Majaliwa tu? Na huyu je anayeingia madarakani! Si alisema jamaa yuko safi anatusalimia? Sijui ilikuwa chini au juu ya kiapo, hapo ndio sijui.
 
Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.

Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndo anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.

Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais ukizingatia kuwa lazima atoke Bara kwani Mama Samia ametokea Zanzibar?

Mimi binafsi nahisi Mheshimiwa January Makamba anafaa sana kuchukua hiyo nafasi ukizingatia ameshafanya kazi kwa karibu na Mama Samia kwa muda mrefu kipindi akiwa Waziri.

R.I.P Magufuli.
Zile siku saba wamekaa na maiti wakijidai wanauguza kumbe wanaangalia namna ya :-
1.Kumtosa Makamu kwa kuangalia namna ya kumfanya na yeye aandike barua ya kujiuzulu /au lazima ili waweke Bashiru
2. Mpango wa kwanza ukishindikana , kuacha katiba ichukue nafasi Samia awe Kaimu Rais lakini akishinikizwa ateuwe Makamu waake kutoka team "genge"
Hizo siku saba hazikutosha kupata Makamu au Kaimu Rais hadi muendelee kuuliza uliza >><?
 
S
kama Rais akawa muislamu na makamu wake ni muislamu basi waziri mkuu razima awe mkristo,watu watatu juu lazima kuwe mchanganyiko wa dini
Sure,tufanye mama mskinda,Nape,mtaka ,chenge,doroth gwajima..
 
Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.

Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndo anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.

Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais ukizingatia kuwa lazima atoke Bara kwani Mama Samia ametokea Zanzibar?

Mimi binafsi nahisi Mheshimiwa January Makamba anafaa sana kuchukua hiyo nafasi ukizingatia ameshafanya kazi kwa karibu na Mama Samia kwa muda mrefu kipindi akiwa Waziri.

R.I.P Magufuli.
1.Mhe. George Mkuchika
2.Mhe. William Lukuvi
either of the two above.
Full stop.
 
Tumpe January Makamba jamani, mnaonaje ??
Katika Urais wa mama huyu, January Makamba anarudi kwenye cabinet japo si lazima awe PM...

Rais atakuwa Samia Suluhu Hassan katika kipindi hiki cha mpito, lakini atakuwa controlled na "remote control" ambaye ni Jakaya Mrisho Kikwete...

The Kikwete Era is back...
 
Atafaa, maana kiukweli sioni mtu wa kuvaa viatu vyake zaidi ya Kabudi, wengine wote nikiwaangalia nawaona ni rojo rojo kwa mabeberu
Acha kuchekesha!!! Umeanza lini comedy?!! Uyu Kabudi ndio awe makamu wa Rais?!! Itakuwa ni kupatwa kwa umakamu!! Kabudi ni mshamba, mnafiki hafai kuwa kiongozi kwenye zama hizi za utandawazi na utawala wa haki za kibinadamu, hatutaki tena kiongozi mwenye mawazo ya kijamaa na propaganda.
 
Back
Top Bottom