Baada ya kufunga ndoa ukae siku ngapi ili ufanye tendo la ndo?

Demu wako kiaje wakati umesema hukumla! Amka kijana unahudumia sio wa kwako alafu nyapi anapewa mwingine
Na ndo ilivyokuwa hvyo,alikuwa ana hang out na mim ila kuna mhuni mmoja alikuwa anakula,maana kuna siku alikuwa na mtoko,huo mtoko niliushutkia,

Nilikuwa nae lakin na mim nilikuwa na sehemu za kujipoza,kuna siku alinifuma alikasirika sana ila maisha yaliendelea
 
Habari, nimekuja kuwauliza kwa niaba ya rafiki yangu ambae kesho anafungana ndoa ila kichwani anawaza sana akae siku ngapi baada ya kufunga ndoa ndipo afanye tendo na mke wake?

Nimemwambia afanye tendo usiku wa ndoa yeye akasema anaogopa mke wake akamuwazia vibaya kwamba alimuoa kwa tamaa za kimwili na kwamba ni malaya.

Mpenzi ushauri jamaa
N. B MIKI NI KATAA NDOA
Mnaulizaga maswali ya kijinga hapa JF! Kaa mwaka mzima bila kumgusa boya wewe!
 
Habari, nimekuja kuwauliza kwa niaba ya rafiki yangu ambae kesho anafungana ndoa ila kichwani anawaza sana akae siku ngapi baada ya kufunga ndoa ndipo afanye tendo na mke wake?

Nimemwambia afanye tendo usiku wa ndoa yeye akasema anaogopa mke wake akamuwazia vibaya kwamba alimuoa kwa tamaa za kimwili na kwamba ni malaya.

Mpenzi ushauri jamaa
N. B MIKI NI KATAA NDOA
Kwa mawazo haya, huyo hakutakiwa kuoa.
 
Na ndo ilivyokuwa hvyo,alikuwa ana hang out na mim ila kuna mhuni mmoja alikuwa anakula,maana kuna siku alikuwa na mtoko,huo mtoko niliushutkia,

Nilikuwa nae lakin na mim nilikuwa na sehemu za kujipoza,kuna siku alinifuma alikasirika sana ila maisha yaliendelea
Hatari bloh sasa anakasirika nini alafu mzigo hakupi? Mimi demu labda awe bikra ndio naweza kumuelewa akiniambia tufanye tendo mpaka ndoa ila hawa mitumba siwezi kusikiliza maana kama alijua hivyo kwanini alikubali kuingiliwa kabla ya ndoa?
 
Back
Top Bottom