Baada ya kugundua jinsi Kijana alivyowafanyia wazazi wake, nimelia sana. Kwanini lakini mtu afanye hivi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti sehemu moja inaitwa Amana...
 
Kama wewe ni mhaya sawa otherwise uhamie uhayani sehemu moja hivi inaitwa kiziba
 
Milembe kuna mgonjwa wenu ametoroka Hospitali au walinzi wameenda Moshi kuhesabiwa?Naomba mje mumchukue mbaya zaidi ameiba simu sijui ya Daktari Mkuu anachat humu mkichelewa atasababisha madhara makubwa sana!
 
Mwanzoni nilitaka acha kusoma, nilipo kumbuka ni kidukulilo nikarudi na kuanza kusoma!

Somo tumelipokea.
 
Kidukulilo habari za muda huu tajiri…
Salama..sorry for a late reply nlikuwa Serena Hotel na kikao na Mawaziri kadhaa waliomba niwasaidie jinsi ya kupata wawekezaji. Ndo nimengia room muda huu. Suit. Nipumzike nimejisikia uvivu kurudi Home Oysterbay ... Mnaendeleaje huko? Naambiwa kuna joto sana....ni kweli?
 
Daaaa maishaa bhanaa yaan wasinza wanajionaga wajanjaa ,kumbe na mwna uku anawaona makoro tu
 
Kiduku is back again[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Hahhah hatari sana tajiri, yaani bila boksa hakulaliki huku tandale, Hongera kwa kuwa na viyoyozi kila mahali tajiri…
 
"sinza ni sehemu ya watu wa kipato cha chini sana"

[emoji23][emoji23][emoji23],aisee Mungu atusaidie sana
 
Huyu mwandishi nahisi atakuwa mhaya,ni mtu wa sifa sifa na ni mtu wa kufatilia mambo ya watu.
 
We unavuta sana bangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…