Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua nilikuwa najiuliza hii Id ya nani maana avatar sio ngeni...nimekukamata[emoji16]Afadhali nimeongeza siku za kuishi [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji28]
Mwanzoni nilitaka acha kusoma, nilipo kumbuka ni kidukulilo nikarudi na kuanza kusoma!Huyu ni kijana mdogo dereva wetu hapa ofisini. of course yeye ndo huwa ananiendesha maana alipata mafunzo ya udereva marekani na kuwa anaendesha mabalozi wa marekani n.k sasa tupo naye kazini mwezi wa tano sasa. juzi akawa anasema kuwa baba yake anaumwa mafua makali na kikohozi nikamuuliza amempeleka hospitali akajibu ndiyo. baada ya siku tatu akanambia bado hali ya baba yake inasua sua. nikamuuliza amempeleka hospital? akajibu ndiyo. nikamuuliza daktari wa wazazi wake anasemaje? nlishangaa anasema hawana daktari. yaani ameshindwa kuwawekea wazazi wake daktari? nlishtuka sana. kumuuliza mwanasheria wa familia. naye hana.nikamuuliza mchungaji/padre au sheikh wa familia. akajibu hana....nikaona tayari hapa kuna shida.jamaa hayupo serious kabisa na maisha ya wazazi wake.nlitokwa na machozi.nliumia sana.nililia...sikuamini.
Kwenda kufuatilia kumbe hajampeleka baba yake hospital kampeleka sehemu moja wanaita Amana... ipo Ilala. nikamwambia Hospital si ni Aga Khan au Muhimbili? hakuelewa kabisa. ndo kumchukua mzazi wake apelekwe Hospital Aga Khan. cha kushangaza yaani pamoja na kulelewa na wazazi wake mpaka umri huo anawaacha waendeshe Harrier. jamani haya maisha mzazi unashindwa mnunulia gari unamwacha aendeshe Harrier? kweli? hizi Toyota Harrier hivi hata upande wake wa safety ukoje? naona kama ni nyepesi sana.
Ndo kumwambia dereva wangu aende wachukua kwenye GMC yangu awapeleke hospital wote. nashukuru walifurahi sana kupanda gari.miaka yote walikuwa hawajawahi panda gari. wanatumia hizi Toyota na Nissan au Subaru .wazee wanaishi mazingira magumu huko sinza. sinza ni sehemu ya watu wa kipato cha chini sana...nikamshauri huyu bwana mdogo awahamishie angalau Mikocheni au Mbezi Beach maana nilimwambia kuna apartments za bei rahisi huku oysterbay.. tsh 10,000,000 kwa mwezi akashtuka kidogo ameze ulimi. anadai eti ni nyingi kwake... jamani wazazi tuwapende na kuwajali wanapofikia umri huu wa miaka 50 plus wanunulie gari kama hawana. wawekee daktari wao.mwanasheria,wafanyakazi,dereva n.k waache tu wafurahie maisha wasiwe na msongo wa mawazo. kwa mwaka angalau hakikisha mara tatu wanaenda tembelea mbuga,nchi nyingine n.k wapende wazazi wako hapa duniani usisubiri wafe uweke picha zao za kuwataka wa rest in peace. let them live in peace right now.
Jamaa nimempa somo kubwa sana. baba yake sasa amepona ananishukuru sana. nimemwambia jamaa ajitahidi hata kwa mwezi awe anatuma tsh 3,000,000 za matumizi kama hali yake ni ngumu sana. wata enjoy na kumbariki. sisi huwa tunawanunulia zawadi wazee wetu mpaka nao wanaenda kugawa kwa marais,mawaziri au wafanyabiashara wakubwa wakubwa.wala hatuudhiki kwa mambo hayo. maana nlishangaa kuiona saa flani ambayo nilinunua Uswisi akiwa amevaa Waziri mmoja hapa Tanzania. nlishtuka sana na kumpigia simu mzee akasema huyo waziri alienda Canada wakaonana akaona ile saa akaipenda sana. alipoulizia bei akatajiwa alipatwa na kigugumizi ghafla na kutoa gesi kwa mshtuko. anasema ni kama angefanya serving ya mishahara na malupulupu yake ndo aje apate hiyo saa miaka ijayo. mzee akavua akampa. huyo waziri kila siku huwa anapiga simu kwa mzee kumshukuru. mzee alishamkataza kuwa ni mambo ya kawaida asijali but haamini kuwa ana saa kama ile. mzee kaamua ku mblock maana ni usumbufu sasa.
Anyway..tuwapende wazazi wetu tusisubiri mpaka wafe na kuanza kuwapost.
Mpaka nimeona aibu...😅😅😅Unajua nilikuwa najiuliza hii Id ya nani maana avatar sio ngeni...nimekukamata[emoji16]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Salama..sorry for a late reply nlikuwa Serena Hotel na kikao na Mawaziri kadhaa waliomba niwasaidie jinsi ya kupata wawekezaji. Ndo nimengia room muda huu. Suit. Nipumzike nimejisikia uvivu kurudi Home Oysterbay ... Mnaendeleaje huko? Naambiwa kuna joto sana....ni kweli?Kidukulilo habari za muda huu tajiri…
I missed you Bill Lugano... kali gwali ifisile kughu nkonyofu ugwe
Hahhah hatari sana tajiri, yaani bila boksa hakulaliki huku tandale, Hongera kwa kuwa na viyoyozi kila mahali tajiri…Salama..sorry for a late reply nlikuwa Serena Hotel na kikao na Mawaziri kadhaa waliomba niwasaidie jinsi ya kupata wawekezaji. Ndo nimengia room muda huu. Suit. Nipumzike nimejisikia uvivu kurudi Home Oysterbay ... Mnaendeleaje huko? Naambiwa kuna joto sana....ni kweli?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
Umenichekesha sana mkuu.
We unavuta sana bangiHuyu ni kijana mdogo dereva wetu hapa ofisini. of course yeye ndo huwa ananiendesha maana alipata mafunzo ya udereva marekani na kuwa anaendesha mabalozi wa marekani n.k sasa tupo naye kazini mwezi wa tano sasa. juzi akawa anasema kuwa baba yake anaumwa mafua makali na kikohozi nikamuuliza amempeleka hospitali akajibu ndiyo. baada ya siku tatu akanambia bado hali ya baba yake inasua sua. nikamuuliza amempeleka hospital? akajibu ndiyo. nikamuuliza daktari wa wazazi wake anasemaje? nlishangaa anasema hawana daktari. yaani ameshindwa kuwawekea wazazi wake daktari? nlishtuka sana. kumuuliza mwanasheria wa familia. naye hana.nikamuuliza mchungaji/padre au sheikh wa familia. akajibu hana....nikaona tayari hapa kuna shida.jamaa hayupo serious kabisa na maisha ya wazazi wake.nlitokwa na machozi.nliumia sana.nililia...sikuamini.