Na wengine humu hata hawajui mamazao walitoa wapi ada ziliwapa ujuzi hta wa kuingia Jf!Mimi ni mwanaume, lakini siwezi kumbeza mwanamke kwa hali yake yoyote ile. Hata mwanamke anayeitwa malaya ni mama. Na hataacha kuwa mama hata kama ni mwendawazimu. Umewahi kumwona mwanamke hata ambaye akili yake siyo timamu ameukumbatia mdoli wake? Unapata ujumbe gani? Watu waache kuwabeza wanawake, ni wazazi wetu. Kama humpendi mwanamke fulani sema humpendi lakini hiyo labeling haikubaliki kwa jamii iliyostaarabika.
Nena ukamuite hilo jina mama yako ndio utaelewa matumizi yakeKwani neno malaya matumizi yake ni yapi?
Shida inaanziaga kwetu mkuu.angalia wanawake tumeona ni Kama Jambo la kawaidaaa..yaan mwanamke mwenzako anadhalilishwa wewe unasema hayakuhusu...shida ndo iko hapa!hata hii comment yako wengi wanawake hawatailewa..unahangaika tu. Na vilaza vya ccmMimi ni mwanaume, lakini siwezi kumbeza mwanamke kwa hali yake yoyote ile. Hata mwanamke anayeitwa malaya ni mama. Na hataacha kuwa mama hata kama ni mwendawazimu. Umewahi kumwona mwanamke hata ambaye akili yake siyo timamu ameukumbatia mdoli wake? Unapata ujumbe gani? Watu waache kuwabeza wanawake, ni wazazi wetu. Kama humpendi mwanamke fulani sema humpendi lakini hiyo labeling haikubaliki kwa jamii iliyostaarabika.
Katukanwa au kaambiwa!?...hivi ikatokea Mwanaume wa Kitanzania akaolewa na shoga mwenzie katika nchi zinazoruhusu ndoa ya jinsia moja, tunakuwa tumeolewa wanaume wa Tanzania wote?.. au JayDee alituita wanaume wa Tanzania wote ni wanaume Suruali?.. au unadhani Malaya ana limit ya KAZI gani afanye?... Ukisikia vikao vya Bunge vikianza Malaya wanajazana Dodoma unadhani wanawaongelea wa mtaani tuu?!...Kamasema Esther Matiko ndo malaya siyo wanawake wote, acha tabia za Kisambaa akitukanwa mmoja anawaambia wenzie wote kwamba wametukanwa
Point yetu hapa ni kwamba, kamanda Sirro alisema watu wafanye siasa za kistaarabu, sasa hawa ccm wanapotoa matusi Sirro anakuwa wapi ?, tanafahamu kwamba uongozi wa ccm hawawezi kuemea kauli hizo za matusiMimi ni mwanaume, lakini siwezi kumbeza mwanamke kwa hali yake yoyote ile. Hata mwanamke anayeitwa malaya ni mama. Na hataacha kuwa mama hata kama ni mwendawazimu. Umewahi kumwona mwanamke hata ambaye akili yake siyo timamu ameukumbatia mdoli wake? Unapata ujumbe gani? Watu waache kuwabeza wanawake, ni wazazi wetu. Kama humpendi mwanamke fulani sema humpendi lakini hiyo labeling haikubaliki kwa jamii iliyostaarabika.
Ohoooooo!!!Hapo kamtusi mpaka mama yake mzazi
Ester matiko Ana mumewe na bado anazaa na Salum Mwalimu watoto Sasa wawili, unafahamu Hilo?Kama kuna mambo yanakera na kuumiza ni kumuita mwanamke Malaya! Ndugu zetu wa CCM baada ya kuzidiwa points wameamua kuhamia kwenye matusi..
Hii ndio justification ya kutoka hadharani na kumuita mtu Malaya?? Bytheway ni nani msafi?Ester matiko Ana mumewe na bado anazaa na Salum Mwalimu watoto Sasa wawili, unafahamu Hilo?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Umesema kweli tupu kabisa. Thanks, you nailed itShida inaanziaga kwetu mkuu.angalia wanawake tumeona ni Kama Jambo la kawaidaaa..yaan mwanamke mwenzako anadhalilishwa wewe unasema hayakuhusu...shida ndo iko hapa!hata hii comment yako wengi wanawake hawatailewa..unahangaika tu. Na vilaza vya ccm
Tusubiri aseme hivyo.Iko siku ataongeza idadi..atasema wanawake wa mkoa fulan wote Malaya...hapa katukana jamii
Exactly.Bila shaka wewe ni shemale!
soma hiiTusubiri aseme hivyo.
Kweli kakosea kumtukana ila matusi yanamuhusu aliyetukanwa na sio wanawake wote.
Oya siku mwanangu wa kike anatukanwa hutaumia kisa hujamzaa?Tusubiri aseme hivyo.
Kweli kakosea kumtukana ila matusi yanamuhusu aliyetukanwa na sio wanawake wote.
Mnawaza yasiyokuwepo .
Mkuu bila kujali ulichosema ni kweli ama laa, una uhakika huyo unayemuita baba yako ndiye? Na je una uhakika mama yako hajawahi kuchepuka/kuzaa nje?Ester matiko Ana mumewe na bado anazaa na Salum Mwalimu watoto Sasa wawili, unafahamu Hilo?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Pointi yako hapo ni ipi?Katukanwa au kaambiwa!?...hivi ikatokea Mwanaume wa Kitanzania akaolewa na shoga mwenzie katika nchi zinazoruhusu ndoa ya jinsia moja, tunakuwa tumeolewa wanaume wa Tanzania wote?.. au JayDee alituita wanaume wa Tanzania wote ni wanaume Suruali?.. au unadhani Malaya ana limit ya KAZI gani afanye?... Ukisikia vikao vya Bunge vikianza Malaya wanajazana Dodoma unadhani wanawaongelea wa mtaani tuu?!...
Best hujanielewa.Oya siku mwanangu wa kike anatukanwa hutaumia kisa hujamzaa?
Basi kweli kila mtu na uelewa wake....mie mwanao nikiona katukanwa na nipo aisee utanikuta mkoa hosp