Watanganyika siasa zetu za kuchumia tumbo. Na raia ukiingia kichwa kichwa kuwapigania wqpinzani utapoeza muda wako😂😂😂
Jasusi la mchongo
Watapata malipo waliyostahili. Kweli CDM ilijaa waganga njaa, bado baba yaoAmeambatana na James Mbowe
Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
Atalipwa kwa kadri ya matendo yake aliyowafanyia watanganyikaKesho ndiyo yule shahidi namba moja wa jamhuri kwenye kesi ya uhaini dhidi ya Lissu atatangazwa kujiunga na Chaumma na kuwa mgombea wao wa urais.
Chaumma ni chama cha kitapel au chama cha mzaha,hivi kweli mtu serious anaweza kweli kujiunga na chama cha ubwabwa?Chaume imetoka kuwa chama cha ubwabwa na kuwa chama cha matapeli AkA Mbowe 's political business
Sana brother,inasikitisha kiukweli.Azory,Ben
saanane, Alphonse Mawazo,soka, mzee kibao, aisee siasa ni ujinga
Hili lilikuwa swala la mudaaa tuuu ,na tulijua tuu swala la mudaa na hata baba yao yuko njiani na atagombea uraisi waendelee kula ruzukuuuu Ruzuku ni tamuu sanaaaa na watu wanakula sana hizi pesa za serikaliii kilaini kijanjajanjaaa check wenyewe wanaona aibuuAmeambatana na James Mbowe
Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
Jasusi muuza vijarida uchwara 🤔🤔 Wana mabadiliko tumepigwa na kitu kizito all in all sisi tunasonga mbele hata tukibakia WACHACHEAmeambatana na James Mbowe
Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
HUyu yeriko lilikuwa ni swala la muda tu, wameivuruga chadema kwa kushirikiana na Dola Kisha kuikimbia, kwa mfano, nani aliyekipeleka chama mahakamani?Ameambatana na James Mbowe
Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
Ben Saanane huko alipo anamzoom Mbowe kwa alicho mchomekeaSikuwai kuamini story za JF Mbowe anaweza saliti CDM hivi mpaka leo.
Ina maana huko CHAUMA kwa sasa wanamsubiri kubwa la maadui mwenyewe FAM.
Hatari sana
Bado ww tuAmeambatana na James Mbowe
Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
Yaani inasikitisha Sana, kalitumia genge lake kukivuruga chama Kisha kukikimbia, Yaani mbowe anashindwa kushawishi watu wake waliofungua kesi mahakamani kufuta kesi kama kweli anakipenda chama?Itoshe tu kusema, Mbowe ni tapeli namba moja nchi hii na alifanikiwa kututeka tulio wengi.
I'm ashamed kumuamini na hata kumpigania.
Mwambie arudishe Jina la watuAmeambatana na James Mbowe
Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
Walijifanya hakuna kuhama chama, kumbe walimaanisha kama mbowe akishinda uchaguzi🤣🤣Lisu na Hecho wametibua maji kenge na fisi maji wanatoka mmoja mmoja.Bado kubwa lao