GE2025 Baada ya kujificha ficha sana hatimaye Yericko Nyerere ajiunga CHAUMMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
🤣🤣🤣
 
Tulipokuwa tunapiga mayowe kuwa mlikuwa mnapoteza muda mlitutukana sana,kwa demage aliyofanya huyu mzee mbowe hamtakaa weza nyanyuka hata kidogo.Poleni sana.
 
Huyu Mbowe ni damu yake au ukoo tu au kaokoteza ukoo kama huyo Yericko
 
huyu dogo mhuni kama baba yake tu. sasa hiyo laki inatoka wapi wakati CHADEMA imefungiwa ruzuku eti kwa vile viongozi siyo halali
 
Alikuwa anajifanya mpigania demokrasia wa kweli, mfia chama, kashindwa uchaguzi kihaki, badala ya kutoa ushirikiano wa kweli kwenye chama akashawishi magenge yake yakivuruge chama chake...
Ndio maana Mac cm huwa yanasema ukishinda upinzani itatokea vita, 🙌🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…