Sawa mkuu.Omba katika ndoa usije ukapata mwanamke mwenye gubu na mchafu wa mwili na mazingira utasalimu amri tu.........ndoa isikie kwa wezio omba yasikukute.
Akili ya kushirikiana na house girl kula ganchi? hii dunia ina mambo kwel.Tunashauriwa kuweka akiba , sio kupewa hela yote na kuitumia yote bila kubakiza hata senti.
Kama 7000 inatosha kwa chakula ni sahihi alivyofanya. Sasa inategemea hiyo 3000 inaenda kwenye matumizi gani.
Huyo mke ana akili.
Hatuwezi kuiongelea hiyo maana hatujasikia story ya upande wa pili.Akili ya kushirikiana na house girl kula ganchi? hii dunia ina mambo kwel.
Asili ya mwanamke ana uwezo wa kuficha na ku-fake tabia zake kwa zaidi ya miaka 10, ukamuona kama malaika na ukaingia mpaka ukamuoa, sasa kuja kujua her 'true colours', ni pale anapo clock miaka 35, 40, 45, zile akili za kuficha na uwezo zina isha kabisa, hapo ndo utalipata la ntema kuni.........Sawa mkuu.
Ila huo uchafu wa mwili si unauona tangu mwanzo?
Sisi wanawake tulivyo mume akikwambia ni mchafu utajitakari mwaka mzima kwa aibu. Ni kwamba huwa hamuwaambii uchafu wao au mnawaambia na bado hawajali?
Wanawake wa hivyo wana matatizo makubwa.
Na wewe fanya uchukue mapumziko mkuu, kujifia nini kisa mtoto aliyezaliwa na mwanamke mwingine.Nayaonea wivu hayo mapumziko yako.
🙄Wewe umeoa gube gube. Huyo hata umuweke kwao miaka 10 hatoacha tabia yake.
Usitarajie mabadiliko yeyote toka kwao maana huko ndio chimbuko la tabia zake mbovu. Cha zaidi tarajia kuongezeka kwa tabia mbaya akirudi maana sasa yupo mafunzoni.
Huyu alipaswa kupewa hata likizo ya miaka 7Muwe mnatupa likizo kama huyo mwenzenu alivyofanya jamani. Ni muhimu sana
Yaani mimi uniambie niende kwetu bila sababu ya msingi na sijataka mwenyewe kwenda maweeeee...Huyu alipaswa kupewa hata likizo ya miaka 7
BabyYaani mimi uniambie niende kwetu bila sababu ya msingi na sijataka mwenyewe kwenda maweeeee...
NIkienda sirudi utatuma winch ije kunibeba kutoka huko.
Labda uniambie kabisa umeniacha nijue moja
Bidhaa ni ipi kwenye hii biashara?Kuna member aliniambia kuwa ndoa ni biashara,biashara yenyewe ndiyo hii[emoji23]
Ameenda ku upgrade tabia...... 🤣Wewe umeoa gube gube. Huyo hata umuweke kwao miaka 10 hatoacha tabia yake.
Usitarajie mabadiliko yeyote toka kwao maana huko ndio chimbuko la tabia zake mbovu. Cha zaidi tarajia kuongezeka kwa tabia mbaya akirudi maana sasa yupo mafunzoni.
AbeeeBaby
NakupendaAbeee
Kwanza atarudi na mimba ambambikie,sina details sn ila nahisi unambana sana waifu wako, kiasi anakosa visenti vya matumizi yake madogomadogo (hadi akuibie). hiyo sio poa, maana mwingine akianza kumpa, ndio itakuwa tamati ya hiyo ndoa.
hayo ya kuangalia tv, ni madogo, huna haja ya kushindana nao, ww una options nyingi. wape space, na hizo ndo sacrifice za ndoa.
hayo mengine ya kurudisha mke kwao ndo nayaskia leo, hivi bado yapo miaka hii? ili kitokee nini? na je akipata sweet baby mwingine huko? utarudi hapa kufungua uzi mwingine au utaendeleza huu?
Nijibu vipi? 😀Nakupenda