Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Sawa mkuu.Omba katika ndoa usije ukapata mwanamke mwenye gubu na mchafu wa mwili na mazingira utasalimu amri tu.........ndoa isikie kwa wezio omba yasikukute.
Ila huo uchafu wa mwili si unauona tangu mwanzo?
Sisi wanawake tulivyo mume akikwambia ni mchafu utajitakari mwaka mzima kwa aibu. Ni kwamba huwa hamuwaambii uchafu wao au mnawaambia na bado hawajali?
Wanawake wa hivyo wana matatizo makubwa.