Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

Hela anayo bwqna watu wote humu wana hela
 
Mapumziko mema mkuu

SEMA ni ngumu Sana kumbadilisha tabia mtu mliyekutana nae ukubwani mkuu
 
Blaza una uhakika kweli kuwa ni Umeaoa?
 
Nimegundua mambo matatu kutoka kwako
1. Mkeo anakupelekesha
2. Mbinafsi
3. Bado hujawa mature enough to handle marriage.
Kabisa, yaani wakati anaoa alipaswa amjulishe mkewe kuwa akili watatumia za mume, za mke aache kwao,.sasa akawa anategemea akili za mke kwenye Ndoa akaona hazitoshi akamrudisha kwao kuongeza akili zaidi, huyu jamaa maisha ya ndoa hatayaweza, siku akikua na kuifahamu kanuni ya ndoa kwamba akili zinazotumika ni za mume sio za mke ndo ataiweza Ndoa 🤣
 
Ndoa ni biashara ya mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…