Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

Hivi nyie mnafikiri kila mtu ana uwezo wa kua na TV mbili nyumbani, kweli watu wengine ana chumba na sebule hizo kelele za tv mbili utaweza kuzimudu ulipie vinga'mzi viwili, unakipato cha kutosha mpaka kumpa mwanamke pesa zaidi, ninacho fahamu zaidi ya 80% ya wanaumme kipata chao ni hand to mouth economy.........mwanamke mdokozi hata umpe shilling ngapi atadokoa tu.
Hela anayo bwqna watu wote humu wana hela
 
Umuofia kwenu!!

Kama mada ilivyo, nimempeleka kwanza kwao kwa muda usiopungua miezi miwili.....akajifunze kitu (kama ni mwenye kujifunza). Siku moja tu baada ya kutoka kwake;........

1. Leo kwa mara ya kwanza, katika kipindi cha mwaka mmoja na nusu, nimefanikiwa kutulia nyumbani saa mbili usiku na kuangalia taarifa ya habari mwanzo mwisho. Kabla, ilikuwa sikai maana nikibadilisha channel tu na kuweka kituo changu pendwa cha StarTv kuangalia taarifa basi manung'uniko yenye kukera huanza kukimbizana kutoka nje ya kinywa chake.......
"Tutaacha vp kubadilishiwa channel wakati TV sio yetu na hata bei yake hatuijui..."
"Hata kuzima we zima tu, nini kubalisha channel" Dah

2. Nimepumzika kushuhudia mabegi na makwapa ya mke wangu yakionwa na watoto muda wote awapo nyumbani. Jitihada za kumrekebisha ili aendane na desturi yangu, daima huenda sambamba na ugomvi....

3. Nimepumzika kuona sura ya kununanuna pale ninapotoa maelekezo....

4. Udokozi wa vielfu tano tano vyangu katika tigopesa yangu utakoma kwa muda....

5. Nitapumzika kusikia matusi kama 'nyoko we' n.k yanayotolewa kwa watoto kila siku....

6. Nitafurahia vichenji vinavyobaki katika matumizi madogomadogo na kuziweka mezani. Kwa kawaida hivi hutoweka dakika moja tu baaada ya kuviweka.....hata kama akiwa amelala basi huamka ghafla na kuvichukua kisha kulala tena.

Mbona nina furaha sana sasa?!!! Atarudi kweli?!!!!! Arudi ili nije kupata stress tena?!!!!!!!

Ndoa..........mh!
Mapumziko mema mkuu

SEMA ni ngumu Sana kumbadilisha tabia mtu mliyekutana nae ukubwani mkuu
 
Blaza una uhakika kweli kuwa ni Umeaoa?
 
Nimegundua mambo matatu kutoka kwako
1. Mkeo anakupelekesha
2. Mbinafsi
3. Bado hujawa mature enough to handle marriage.
Kabisa, yaani wakati anaoa alipaswa amjulishe mkewe kuwa akili watatumia za mume, za mke aache kwao,.sasa akawa anategemea akili za mke kwenye Ndoa akaona hazitoshi akamrudisha kwao kuongeza akili zaidi, huyu jamaa maisha ya ndoa hatayaweza, siku akikua na kuifahamu kanuni ya ndoa kwamba akili zinazotumika ni za mume sio za mke ndo ataiweza Ndoa 🤣
 
Wanawake wana mambo sana, kuna siku kwenye daladala mama mmoja akapiga simu alikuwa anaongea na house girl nadhani, akamuuliza baba kakupata sh ngapi ya matumizi....akaendelea basi sawa tumia elfu saba tu hyo elfu tatu weka pale tunapowekaga. Nilichoka na kuchoka mke anashirikiana na house girl kula ganchi kwa mumewe.
Ndoa ni biashara ya mwanamke

Back
Top Bottom