Baada ya kumwambia mume wangu haniridhishi, kasitisha kufanya tendo la ndoa na mimi kabisa

Kisa nimekwambia ukweli? Au kisa nn??
Mi nilishazoea iyo hali hasira zinakuja mtu ndan hamfanyi unavumilia tu kumbe mwenzio wanawake kila kukicha
Bàsi angekua fair nje anafanya na mimi ananifanya naridhika wala isingekua kesi
Wanaume wasio jielewa kama huyo wakwako wapo wengi sana, pole sana dada, nenda kwa aliyewafungisha ndoa mwambie unaishi na mayai ya jogoo nyumbani na sahizi yanaelekea kuwa mayai viza.
 
Iko hivi mr alikuwa mtu wa kuchat na wanawake mara kwa mara sms za mapenzi. Kwa madai yake ni hulka yake tu lkn hafanyi nao mapenzi. Ni kitu kimekuwa cha miaka sasa, unakemea anaacha baada ya muda anaendelea tena
Hakuna ndoa hapo utavumilia hii kitu mpaka lini? Kwani ndoa utumwa? Kuliko kuchepuka bora muachane hapo hakuna maisha utapata mwingine
 
Ukimuheshimu mtu na yeye anapaswa kukuheshimu, km hakueshimu hupaswi kumpa hesjima.Huyo mume gajigeshimu na hapo ndoa ni ngumu sana km unaweza kujiondoa ondoka.
 
Jamaa amesha haribu ndoa hapo amedhamini michepuko kuliko mke wake, hii tabia ni mbaya sana , sumu ya ndoa ni michepuko
 
Hapo ndipo ulipo haribu hali ya hewa. Mwanamke unatakiwa kuwa number one Fan wa mumeo. Ukianza kumpiga vita unamuumiza sana na inamfanya apoteze hisia na ww kabisa na kukuona kama jiwe.
 
Unasema wiki wakati wengine mwaka unakatika na akiambiwa anasusa kama huyo mjinga badala yakutafuta tiba anasusa, sijui kwanini wanaoa wakaage na Mama zao wawapikiage tu.
Umeonaeee, mentality za baadhi ya wanaume wa kibongo huwa zinaona wanawake ndo wana makosa yaan mwanaume anafanya ushenzi mwanamke yeye ndo anazodolewa, syo fair kbisa
 
Wanaume wasio jielewa kama huyo wakwako wapo wengi sana, pole sana dada, nenda kwa aliyewafungisha ndoa mwambie unaishi na mayai ya jogoo nyumbani na sahizi yanaelekea kuwa mayai viza.
Ahahaaaa!!!!
 
Mm pia naamin, tatizo la nguvu za kiume kama lipo, basi ni kidogo sana, confidence ikiondoka na tatizo linaanzia hapo, mengine mbwembwe tu
 
Ahahaha mkuu description kama box la Tv noma sana jf.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Nashukuru mkewangu naona umeona haitoshi umekuja kunianika nahuku
 
Wapi huko wananyonya ubongo mkuu...?[emoji23][emoji23]
 
Unajua inauma kiasi gani kwa mwanaume kuambiwa "show yako ni mbovu " ..? Ni sawa na nyie tukiwaambia nyapu zenu ninanuka kama Chinese zilizolala
 
Hizi ndoa zina mambo sana,ukisema ukweli unaonekana huna adabu.Pole kwa kunyimwa haki yako ya msingi.Jishushe tu uombe msamaha maana maji ukiyavulia nguo shart uyakoge.Jaribu kumrudisha mme kwenye line kama alivyokufundisha kungwii.[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…