Baada ya kumwambia mume wangu haniridhishi, kasitisha kufanya tendo la ndoa na mimi kabisa

Tiba ya saikolojia ya mume ni mke wake. Mke akiwa na kauli chafu kwa mume ugeuka sumu uondoa upendo uzalishaji kibamia, na goli dhaifu
Aisee upo sahihi kabisa ,niliwahi mwambia X wangu hiki kitu hakuniamini,kutokana na ile ideology iliyoko kichwani mwake kuwa siwezi kazi basi kila nikikutana naye jogoo hawiki kabisa na akiwika simaliz hata dakika 2 nisha toa wazaramo.Lakini the same act nikichepuka napiga show ya kibabe hadi 20mnts hatari.Kweli umenena na kunikumbusha mbali
 
Huu ukweli wengi mnaujua ila kinachowakosti ni kukaza ubongo tu😂😂😂!

We jua you are the last but not the least, so hakikisha unaitendea haki yako ili ubakie the last kwa muda mrefu maishani mwako.
 
Kisa nimekwambia ukweli? Au kisa nn??
Mi nilishazoea iyo hali hasira zinakuja mtu ndan hamfanyi unavumilia tu kumbe mwenzio wanawake kila kukicha
Bàsi angekua fair nje anafanya na mimi ananifanya naridhika wala isingekua kesi
Mnhh!!
 
Ngumu kumeza hii,, nikupe pole mno inaumiza kuliko kawaida unajitunza na kumuheshimu lakini yeye hana muda na wewe kabisa,
Kwa kauli aliyotoa kwa mumewe hii inaashiria dhahiri ni aina ya watu ambao ni hard negotiators. Hata treatment ya huko awali haikuwa nzuri, nina wasiwasi ni mwanamke mlalamishi sana. Hii tabia ni major turnoff kwetu wanaume na kimsingi huwezi kuwa na hamu na mwanamke ambaye kila unalofanya kwake si kitu anakulalamikia tu over a bunch of stuff.

Ukijaribu kumuelewesha anakujia juu.
 
Kisa nimekwambia ukweli? Au kisa nn??
Mi nilishazoea iyo hali hasira zinakuja mtu ndan hamfanyi unavumilia tu kumbe mwenzio wanawake kila kukicha
Bàsi angekua fair nje anafanya na mimi ananifanya naridhika wala isingekua kesi
This even proves more of your bad negotiation moves 😂!

Mume ni mtu special and you have to ensure that you give him that impression each and every moment. Labda unajiuliza kwanini mumeo ha flirt na wewe zaidi but kimsingi ni kwamba hauna skills za kumshawishi. You are using a wrong approach ambako unatumia force kwa kuona una hati miliki na hisia zake without making any efforts unataka awe na hamu na wewe akugonge uridhike.

Badili approach kwa kuomba samahani sana juu ya kosa ulilotenda na ujutie kweli. Kisha acha domo chafu penda kutumia kauli za kubembeleza kama mtoto.
 
Haya maandishi yawekwe strong room
 
Inawezekana kweli anachat na wanawake wengi wengi ili kujimwambafy kwamba anaweza japo anajua hana uwezo mkubwa wa kuhimili mchezo so anatafuta satisfaction kihisia kwa wanawake tofauti tofauti. Hapo ulipomwambia anafanya dkk moja umeuaa yani umemfedhehesha sana yani kama ni bomu umelipua makao makuu lazima akili iruke. Mi hata sijui cha kushauri maana wanaume wengine visirani
 
Kwani lazima aolewe aachane nae anunue Dido
 
Mbona rahisi na wewe anza kuchati na wanaume
 

Sema tu dada yangu naogopa ukiamuambia hivyi utaharibu kabisa ila ingekuwa ni yeye ameuliza ushauri huu tumpe wanaume wenzake ningemwambia je anajua mahali mgodi wa chumvi ulipo Tanzania yaani Uvinza? basi akishafahamu mgodi ulipo azame huko achimbe chumvi.

Hakuna mwanamke ambaye akifanyiwa hiyo kitu anaacha kufika kileleni hii inaitwa catalyst kama vile kwenye chemical reaction.Hata mwanamke asiyekata mauno kama wale dada zetu wa ule mkoa wa Shimboni nashisha wakifanyiwa hiyo kitu lazima wamtaje YESU huku wanakatika kama panga boi.
Ndoa inaficha mengi sana usidanganywe ndoa nyingi wanafanya hii kitu kitu kikubwa ni usafi wa mgodi na huwezi mfanyia kila mwanamke na unayemuamini tu au mkeo.

Cha kuongezea ni kwamba tofauti ya wanawake na wanaume mwanaume kufika kileleni unaweza tumia hata sekunde lakini wanawake inachukua muda mrefu hivyo moja ya manjonjo kumfikisha ni hayo.Wapo wanawake ambao usipoingia chumvini hakuelewi
 

Onesha kumpenda,mpikie vizuri,msifie awe na confidence,kua mtundu kitandani!..
 
Hapa ukwel mtupu,
 
Ushauri wako hauja balance dada,ulipaswa ujue upande wa mwanaume kabla hujashauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…