Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi danga alilonyang’anywa na Tessy lilikuwa jipi!Kipindi anadate na wa mgodi ndo alikua anafanya kufuru ya pesa, kuzurura duniani.
Ila akili kisoda hana hata sehemu ya kuegesha ubavu wake, lol
Sijui huwa wamerogwa khaaah
Kwakweli mwisho wake ni mbaya.
Ila ule wimbo unaishi, hadi wahusika umewatafuna!
Mmoja akaanzisha na ki taasisi cha figo, wakati mambo ya figo hayana pesa...Kwakweli mwisho wake ni mbaya.
Ila ule wimbo unaishi, hadi wahusika umewatafuna!
Mbona ameshaimba Mkuu? Nenda kautafute wimbo unaitwa Tunategemeana kashirikishwa.Kaokoka??? Sawa, wokovu ni wa kila mtu Mungu anaamuokoa wakati ukifika. Ishu ni kwamba ataweza kuishi maisha ya wokovu? Tumtakie maisha mapya ya wokovu yenye baraka tele. Ni mrembo mzuri hata akitaka kuwa mwanamke wa ndoa yenye heshima huko wokovuni atapata tu mume mwema naye awe mke mwema! Kama ana kipaji/kipawa cha uimbaji tumuone akiimba injili au akicheza filamu zenye maudhui ya wokovu kama akina mgendi na bahati, hiyo kolabo itapata watazamaji wengi sana
huo wimbo nitautafuta. Kaokoka kanisa gani tujue, kwa manabii na mitume au wachungaji wa kawaida? Mara paap naingia kwenye kanisa anakosali, na yeye ndiye yuko mbele anaabudisha/praise and worship team sitashangaa sana nitaabudu naye tu nikijua naye ni chombo safi cha MunguMbona ameshaimba Mkuu? Nenda kautafute wimbo unaitwa Tunategemeana kashirikishwa.
Japo nagoma kuamini kama ile sauti ni yake kweli au ni brush la studio, ni wimbo mzuri waliufanyia remix.
Nahisi yeye ndio aliomba wafanye hivyo (Remix)