Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

Ni jambo jema kwa mwanadamu kurejelea njia njema alizozielekeza Maulana...

Ajabu kuna watu wangali kwa unafiki wanatia dhihaka, je mlikuwa mnapenda kuona mienendo yake mibaya?
 
Hao kina lode km sponsors hawakuwa na buzznes card kazi wanayo, kuwadi kaokoka sasa.
Itakuajeee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu si nasikia jamaa sio riziki yule? Ana pigo flani hivi huwa sizielewi.
 
Kaokoka??? Sawa, wokovu ni wa kila mtu Mungu anaamuokoa wakati ukifika. Ishu ni kwamba ataweza kuishi maisha ya wokovu? Tumtakie maisha mapya ya wokovu yenye baraka tele. Ni mrembo mzuri hata akitaka kuwa mwanamke wa ndoa yenye heshima huko wokovuni atapata tu mume mwema naye awe mke mwema! Kama ana kipaji/kipawa cha uimbaji tumuone akiimba injili au akicheza filamu zenye maudhui ya wokovu kama akina mgendi na bahati, hiyo kolabo itapata watazamaji wengi sana
 
Hata gigy money mcheza x kaokoka na wolper kwa nabii Malisa.
 
Kwakweli mwisho wake ni mbaya.

Ila ule wimbo unaishi, hadi wahusika umewatafuna!

Usicheze na hiyo kitu, CD4 zikishuka tuu utaumwa kila aina ya magonjwa hata yale ambayo huwa siyo makali basi yanakuwa makali..... Na ndo hapo mtu huwa anaumwa ghafla na kukonda kwa kasi ya 5G..
 
Kaokoka??? Sawa, wokovu ni wa kila mtu Mungu anaamuokoa wakati ukifika. Ishu ni kwamba ataweza kuishi maisha ya wokovu? Tumtakie maisha mapya ya wokovu yenye baraka tele. Ni mrembo mzuri hata akitaka kuwa mwanamke wa ndoa yenye heshima huko wokovuni atapata tu mume mwema naye awe mke mwema! Kama ana kipaji/kipawa cha uimbaji tumuone akiimba injili au akicheza filamu zenye maudhui ya wokovu kama akina mgendi na bahati, hiyo kolabo itapata watazamaji wengi sana
Mbona ameshaimba Mkuu? Nenda kautafute wimbo unaitwa Tunategemeana kashirikishwa.

Japo nagoma kuamini kama ile sauti ni yake kweli au ni brush la studio, ni wimbo mzuri waliufanyia remix.
Nahisi yeye ndio aliomba wafanye hivyo (Remix)
 
huo wimbo nitautafuta. Kaokoka kanisa gani tujue, kwa manabii na mitume au wachungaji wa kawaida? Mara paap naingia kwenye kanisa anakosali, na yeye ndiye yuko mbele anaabudisha/praise and worship team sitashangaa sana nitaabudu naye tu nikijua naye ni chombo safi cha Mungu
 
Back
Top Bottom