Baada ya kustaafu katelekezwa na mke na watoto wake. Anaugua ugonjwa wa akili kwa sasa

Kugonga hakijawahi kuwa shida Bali wa kukuuguza.

Kuna mzee alikuwa amemuamini mtu Baki kuliko mtu wa ndani kumwambie akamtolee hela amlipe anaemuangalia baada ya Mke na Watoto kumkimbia na huyo Mzee alikuwa mstaafu.

Bahati nzuri Jamaa alikuwa mwaminifu Hadi Mzee anakufa.

Ndio maana nikasema hivi kama una ndugu jitahidi kuwa na mawasiliano nao ya mara Kwa mara maana Kuna siku utakuwa na pesa ndio ila wa kukisfisha anaweza asiwepo au asipatikane Kwa mda muafaka hata wa kumlipa.

But all in all pesa ni security, wanawake Kwa ubinafsi ndio maana unaona wanaojipendekeza Kwa Watoto Ili uzee wao wake kuhudumia na hao Watoto.
 
...Palikalika ?? [emoji848]...
 
Huwezi jua siri ya familia. Siwezi kuliongelea upande wa mwanamke kwa sababi ni mtu mzima mwenye akili timamu.Nataka kuliongelea upande wa baba. Wababa wengi wanachojua ni kutoa matumizi lkn suala la malezi kuwaachia wakina mama..

Baba hajui mtoto anapenda nini,,,hajua mtoto anachangamoto gani. Maisha yote mtoto anamuona mama yake baba kuamka asubuhi kwenda kazini akirudi kula kulala. Hajengi bond na mtoto ndo haya madhara mtoto akikua wala hashtuki kuwa baba anahitaji upendo. Ukitaka kuamini angalia familia ambazo baba kawekeza upendo kwa watoto,,,mtoto mwenyewe atamtafuta baba hata kama mama atamlisha sumu kiasi gani.

Wazazi licha ya changamoto na kutofautiana tuhakikishe upendo na kujitoa kwa watoto kunabaki pale pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alishasema Mtibeli oeni wanawake wanawapenda hutakutana na hii changamoto hta km wtt watakuchukia basi mkeo atasimama na wewe ila ukifosi koua sababu ya ukwasi hta uzae nae watt 10+ km hakuwa na upendo na wewe lazima utapitia hii hali Robert Heriel Mtibeli
 
Sishangai Kwa make. Tatizo ni watoto. Elimu haijawakomboa. Laana itawatafuna.
 
Maisha ni fumbo unaweza fichaficha hivyo ukafa ukaachia watu baki
 
Ukiona isolate incident kama hii unadhani kila familia iko hivi? Kuna wastaafu wengi tu wanaishi vizuri na wake na watoto wao.
 
Mama yako aliolewa au alikuwa mwakitombile & mwakifiro
 
Maisha ni fumbo unaweza fichaficha hivyo ukafa ukaachia watu baki
Sasa utaamua.

Ujiwekee akiba binafsi.

Au, u expose kila kitu kwa ndugu wajue hadi namba za siri za benki.

Kisha mkisha filisiwa mje hapa JF kulia lia tena na kuomba msaada wa mawazo.
 
Mkuu mbona Kuna matajiri wanadumu na wake zao hili unalizungumziaje
Kigum haya mambo uwe na Neema tu basi
 
Sasa Mkuu unajitengea Alfu mwishoe anaenda kuomba talaka kile ulichonachwa kinakwapuliwa chote hapo itakuaje 😢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…