Baada ya kutangaza kugombea u/kiti CDM, ni kosa TAL kuendelea kuwepo nchini. Wakati sahihi kuwepo ni siku ya uchaguzi wenyewe. Sababu hizi hapa.

Hapa sasa ndio maana ya uhuru,haki,uadilifu na uwajibikaji unapopata maana halisi.Ila kwakuwa taifa limeamua kuchukua mkondo ambao wasio taka haki,uhuru,uwajibikaji basi kila mmoja atayatafuta maslahi yake.Kwa namna ipi?Itajulikana huko tuendapo,hii sii jambo lenye afya kwa taifa na watu wake.Tafsiri ni nini,wapo tulio waamini kuhakikisha hatufiki huku ila wamethibitisha kushindwa majukumu hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…