Hawana umhimu wowoteKwa hao Vijana mimi sioni kilichoharibika nashangaa jamii inatafakari sana, hawa ni muhimu kuliko hata Samia mwenyewe kwenye propaganda za Fisiemu.
Sasa ushawah ona wapi Mshambuliaji wako unaeaminia umchezeshe mechi za kitoto wamvunje wakat soon kuna finali, lazima umlinde kwa kumpumzisha🤣
Sasa ukiachana na Kifo cha Magu, samia alikua na umuhimu gani hapa nchini kumshinda Makamba au Nape?Hawana umhimu wowote
Kwanini hawakuteuliwa makamba na nepi kuwa makamu wa RaisSasa ukiachana na Kifo cha Magu, samia alikua na umuhimu gani hapa nchini kumshinda Makamba au Nape?
Viongozi wajinga huwa hawataki watu Smart kuwaliko.Kwanini hawakuteuliwa makamba na nepi kuwa makamu wa Rais
Hiki ulichoandika ni proof kwamba upumbavu ulio nao hauwez kutoka..!Kuna muda muwe mnatumia akil vizuri.
STarlinkni operate hapa nchini ,hizo pesa serikali ilizowekeza kwenye mkongo wa taifa zitarudi vipi?? Utalinda vipi makampuni ya ndani especially TTCL ,yan pesa zoote zitoke humu ndani ziende nje ??
Tuache ujinga wakat mwingine wa kutofikiria sawa sawa.
Inachokosea sana serikal ni namna inavyoshindwaa kuwabana haya makampuni ya ndani kama providers mpaka wanakua wanafanya mambo pasipo weredi lakin kuhusu starlink kunyimwa leseni , naunga mkono 100%.
Wewe ndio huna akili, kwani hela za Vodacom zinabaki hapa Nchini, Halotel je?Kuna muda muwe mnatumia akil vizuri.
STarlinkni operate hapa nchini ,hizo pesa serikali ilizowekeza kwenye mkongo wa taifa zitarudi vipi?? Utalinda vipi makampuni ya ndani especially TTCL ,yan pesa zoote zitoke humu ndani ziende nje ??
Tuache ujinga wakat mwingine wa kutofikiria sawa sawa.
Inachokosea sana serikal ni namna inavyoshindwaa kuwabana haya makampuni ya ndani kama providers mpaka wanakua wanafanya mambo pasipo weredi lakin kuhusu starlink kunyimwa leseni , naunga mkono 100%.
Kuna nyaraka ya siri nataka nikupenyezeeWakuu,
Mambo ni moto, Nape kaondoa kaunti yake X kama TCRA. Jamaa kavurugwa mpaka ameamua kuzira?
Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Kweli madaraka matamu Wakuu.
Kwahiyo na yeye saivi anaanza kuwa Lucas Mwashambwa kumsifia mama na kulamba miguu yake mpaka aje kulamba tena teuzi?
Sa itakuaje!
Sasa hao Wanausmart gani ukitoa wazazi wao kuwa wahenga wa CCM Wana sifa gani ya ziada maana hao hata form four walifeli na Bado wakafoji vyeti ili waendelee kusomaViongozi wajinga huwa hawataki watu Smart kuwaliko.
Imepigwa vizuri?Nimeona imepigwa
Kwamba nchi zilizokubali starlink zenyewe hazina mkonga wa taifa au hazijawekeza? Unapokuwa na bidhaa nyingi sokoni ndio mteja anapata wigo mpana wa kuchugua bidhaa ambayo ni quality kwa bei affordable,hivyo basi inabidi tuwe na ushindani kwenye hizo bidhaa Ili tuchague ipi ni nzuri,Kuna watu wengine hawajui hata ttcl wanajua voda,tigo Airtel na halo,kama ni Swala La hasara kwanini serikali isiwazuie hao private company maana hakuna tofauti kati ya hao kina voda na starlinkKuna muda muwe mnatumia akil vizuri.
STarlinkni operate hapa nchini ,hizo pesa serikali ilizowekeza kwenye mkongo wa taifa zitarudi vipi?? Utalinda vipi makampuni ya ndani especially TTCL ,yan pesa zoote zitoke humu ndani ziende nje ??
Tuache ujinga wakat mwingine wa kutofikiria sawa sawa.
Inachokosea sana serikal ni namna inavyoshindwaa kuwabana haya makampuni ya ndani kama providers mpaka wanakua wanafanya mambo pasipo weredi lakin kuhusu starlink kunyimwa leseni , naunga mkono 100%.
Kwahiyo kufaulu Fizikisi na Hisitori vinahusianaje na Usmart wa Siasa?Sasa hao Wanausmart gani ukitoa wazazi wao kuwa wahenga wa CCM Wana sifa gani ya ziada maana hao hata form four walifeli na Bado wakafoji vyeti ili waendelee kusoma
Sijui muulize aliekupigaImepigwa vizuri?
Kwaiyo siasa ndo kimbilio la watoto vilaza wa wastafu ?Kwahiyo kufaulu Fizikisi na Hisitori vinahusianaje na Usmart wa Siasa?
Samia alifaulu?
Usiongee vitu usivyovijua ni Umbeya🤣Sijui muulize aliekupiga
Wa Bibi yakoUsiongee vitu usivyovijua ni Umbeya🤣
Hilo ndo jibu.Kwaiyo siasa ndo kimbilio la watoto vilaza wa wastafu ?
Hili jambazi 1 ndio limebakiKazi kwelikweliView attachment 3048304
Usipanic Mkuu.Wa Bibi yako