Baada ya kutoa mabandiko kuhusu hali ya Corona nchini, Kaimu Balozi wa Marekani aitwa Serikali kutoa ufafanuzi

Mimi namshangaa Sana huyo Mmama,kwahiyo Kati ya Tanzania na Marekani wapi corona imeweka mizizi zaidi?kwahiyo Marekani nisalama kwa corona kuliko Tz,
 
USA imewaambia raia zake...Si ninyi serikali mnaficha data....Mtakula hizo data sasa. Mtapata watalii chini ya laki moja kwa mwaka. Serikali ya Magufuli ya ovyo, ovyo kweli imejaa washamba, malimbukeni na wauaji. Mtalipa hayo yote mnayoyafanya.
Magufuli ndo kiboko yenu. Mlizoea maisha ya madili - mtanyooshwa hadi mfe wote
 
Wakisikia CIA wanahisi wapo perfect kwa 100%
Wangekuwa wapo makini wasingeuliwa kizembe kule iraq ubalazini
Chunga kauli zako mkuu,You are not so safe

Watch out mkuu,Hii dunia ina mambo mengi

Kama hujui teknolojia bora
 

JF ina vichwa kweli kweli.
 
Nyie endeleen na porojo Ila nchi sasaiv inaongoza Kama nchi zingine zilizo endelea lazima ahojiwe ubalozi unapo kua kwenye nchi za watu hutakiw kuropoka unavyo jiskia unatakiwa ujue mipaka yako hongera Tanzania kwa kuendelea kusimama Kama nchi

Jifunze kuandika kwa kuweka koma na nukta.
 
icho kibibi sio chakuwekandani ni cha kifinya mashavu,unakafinya na makalio kisha unakaacha.hatorudia
 
Mkuu peleka hizo ulizo nazo, sjui unangoja nini kupeleka hizo Tarifa Maana ndg zako ukiwemo na wewe mna Corona wote!!
Wewe huoni/hujui kwamba sio jukumu langu kutoa hizo unazosema.
WaTanzania wameweka serikali ifanye kazi hiyo, serikali imegoma. Isingekuwa polisi na mabunduki, wananchi wangewafukuza kwa sababu mmeshindwa kazi mliyopewa kuifanya.

Kwa hiyo jisifuni kwa sababu mmewateka waTanzania. Hata mkishindwa kufanya kazi mliyopewa, nyinyi ndio mnalazimisha wananchi wasifu upuuzi mnaofanya.
 
Maswali ya kimbugwe hayo na majikbu yako wazi. La ziada kwako.... Soma zaidi kuhusu Caesar and Brutus, utajua ni nani akaribia kuzikwa usiku!
Asante kunifahamisha kuhusuCaesar and Brutus, ni kitabu gani , au una maana ya sinema ya Ceasar?
 
U balozi wa Marekani ulipopigwa bomu ma CIA wote waliofika kuchunguza waliweza walipata passport za Tanzania ndani ya wiki moja.
 

Analindwa na kinga ya kibalozi.

Hata hivyo akirudia tena serikali itataka aondolewe nchini.

Huko kuitwa ni taratibu za kidiplomasia na zinakubalika duniani kote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…