kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,389
- 4,935
USA imewaambia raia zake...Si ninyi serikali mnaficha data....Mtakula hizo data sasa. Mtapata watalii chini ya laki moja kwa mwaka. Serikali ya Magufuli ya ovyo, ovyo kweli imejaa washamba, malimbukeni na wauaji. Mtalipa hayo yote mnayoyafanya.
Duuu Kuna majitu mapumbavu hapa Tanzania jamani,hivi kwa akili yako jiwe atawaambia nini wamarekani,acha kuwa poyoyo weweSafi!
Kuna takataka zinafikiri tunaiogopa sana USA.
Ule ulikuwa mchecheto wako na hizo source za kimbwiga unasoma ndugu. CIA hawakusema kitu kama hichoSi ndo walisema kim jong un amefariki? Kweli CIA wanajua kila kitu
Dogo acha kuwewesekaBalozi hawekwi ndani...ila TZ ikitaka itamtembeza kwenye hostpitali aone na kuthibitisha...
atakae elewa atamalizia mwenyewePongezi za nini, mbona hujamalizia?
''Satire''! Unajua maana yake? Unanifanya mimi sijui kuwa balozi hawezi kuwekwa ndani? Nimewapiga kijembe hao waliozoea kuweka watu ndani hata kwa vitu vya kijinga kabisa! Uko hapo? BTW Huwa unamfuatilia Askofu Magufuli anavyohubiria Taifa injili?Nnaona wewe ndiye uliyekaa kizembezembe maana hata maana ya "balozi" huijuwi.
Maswali ya kimbugwe hayo na majikbu yako wazi. La ziada kwako.... Soma zaidi kuhusu Caesar and Brutus, utajua ni nani akaribia kuzikwa usiku!Hizo maiti zinazozikwa usiku hazina ndugu, majirani au rafiki? Au wewe una ndugu, jirani au rafiki aliyezikwa usiku. Subiri na wewe uzikwe usiku.
Unajiaibisha
Marekani wanakufa wangapi kwa siku?USA imewaambia raia zake...Si ninyi serikali mnaficha data....Mtakula hizo data sasa. Mtapata watalii chini ya laki moja kwa mwaka. Serikali ya Magufuli ya ovyo, ovyo kweli imejaa washamba, malimbukeni na wauaji. Mtalipa hayo yote mnayoyafanya.
Sasa hapo ndo utambuwe kitu wamemfanya Ben Saanane.Sasa mkuu kwenye nchi ambayo humuweka rumande wiki nzima raia wake eti kwa ''kucheka suti ya rais'' huoni ni ni nchi ya kipekee? Ile picha ya suti ya Magufuli enzi hizo Magufuli mwenyewe alitakiwa kuwa proud nayo. Awape vijana motivation kuwa ametoka mbali. Kusema ukweli ile picha ndiyo ilitakiwa iwe fahari yake ukitilia maanani waafrika wengi tunatokea kwenye maisha duni. Kile kweli ni kitu cha kumuweka mtu ndani?
Hatucheki na mabeberu sisi tunawakamua tu
USA imewaambia raia zake...Si ninyi serikali mnaficha data....Mtakula hizo data sasa. Mtapata watalii chini ya laki moja kwa mwaka. Serikali ya Magufuli ya ovyo, ovyo kweli imejaa washamba, malimbukeni na wauaji. Mtalipa hayo yote mnayoyafanya.
Hata kununua kondom hamuwezi halafu mnasema eti mtafunga ubalozi.
Akitoka hapo siku chache zijazo ataweka bandiko jingine na hamtamfanya chochote.
Wewe ndiyo kichaa kabisaMkuu Serikali itaachaje kuwa ya hovyo wakati Kiongozi Mkuu anaamini ktk nguvu za giza kuliko Wataalam wa Afya kwenye uhalisia wa sayansi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana mnapukutika
Hamna jeuri hiyo hadi kihama
Tuna Kabudi atatutafsiria
Hamna jeuri hiyo kwani bado mnawategemea sana hao mabeberuIla muda wowote Serikali ya Tanzania inaweza ikamkataa na ikamtaka aondoke nchini ndani ya muda watakaoweka na ikaitaka Serikali ya Marekani iletae Balozi mwingine.
Angalieni msinyimwe misaadaUfanane na wapumbavu mkuu!
Hiyo kumuita tayari ni diplomasia nzuri sana hiyo.
Selikali hawajaridhika ndio maana wamemuita ili kumueleza malalamiko yao! Sasa ulitaka wafanyeje ili ujue diplomasia imezingatiwa?
Wewe unajua nini wewe zaidi ya udini tu?Nnaona wewe ndiye uliyekaa kizembezembe maana hata maana ya "balozi" huijuwi.