Baada ya kuwapuuza wanachama hawa maisha yangu JF yameboreka sana

Duh hiv kumbe watu huwa mnafatilia likes? Me nmeondoa kabisa kuona notification ya likes...Notification pekee niliyoweka ni ya replies tu bas.
 
Hao jamaa Ni wachonganishi kinoma wakikuta unagombana na mtu wana like comment yako unajua yupo upande wako baadae unakuta ka like na comment ya adui yako
🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…