Baada ya kuweka koma kwenye orodha ya kwanza ya Mawaziri, Rais Samia asema atatangaza orodha mpya karibuni

Namwona mwamba Mshana Jr wakati huu akitamani kurudia fani ili apige pesa za mataahira!
 
Wasalimie Lusewa na Magazini mkuu....
 
Natamani kila siku niwe nasikia hotuba kama hizi kutoka kwa madam President
Kiukwel hata mm nmefurahi sana. Madam President sasahivi amechangamka, hata akitoa amri famya hivi watu watafanya... tumuombee azidi kuwa mkali... Watanzania tumedekezwa sana ndo maana tumekuwa waoga wa kuthubutu kufanya mambo makubwa....

Goo Madam
Rais nguruma kama simba... nchi itetemeke.
 
S
Sikumwelewa,huko nje,ina maana nje ya nchi ,Atawapa ubalozi kwenye nchi mbalimbali sio.
 
Kwa hiyo amaleki na yule shetani wa ikulu anaaenda kung’olewa!
 
Mama akimtoa Majaliwa atatengeza mgogoro mkubwa sana nchini, jamaa anafaa kuwa PM
Anafaa vp wakati anamuharibia Rais?? Ana kundi lake la kutaka URAIS 2025?? Yeye ni nani nchi hii?? We unadhani ni yeye tu anayefaa??
 
Wanaotoka

1. January Makamba
2. Suleiman Jaffo
3. Mwigulu Nchemba
4. Dotto Biteko
5. Dorothy Gwajima
6. Jenister Mhagama
7. Palamagamba Kabudi

Wanaoingia

1. Ridhiwani Kikwete
2. Nape Nnauye
3. Hamis Kigangwala
4. Charles Kimei
5. Mrisho Gambo
6. Festo Sanga
7. Tarimba Abbas

Nasisitiza huu ni Ubashiri wangu tu wa Mkeka na simaanishi kuwa ndiyo itakavyokuwa. Tuelewane vyema tu tafadhali katika hili
.
 
Kwa maoni yangu Mawaziri/Manaibu wafuatao wameshindwa kumsaidia Mhe. Rais;

1. Wizara ya Viwanda
2. Wizara Kazi ajira, wazee.
3. Naibu Utalii
4. Naibu Ardhi
5. Katiba na sheria
6. Naibu miundombinu.
7. Naibu nishati
8..................

Hayo ni maoni yangu kama raia mwema wa Tanzania.
 
Huyo Sanga ni yule mwenye akili au Mkata viuno?
 
Umeongea kitu cha maana sana huu mkururu wa Mawaziri Vitumbo hauna maana yoyote ni kupoteza pesa na kufuja mali ya Umma tu ingeiga mfumo wa Japan au Malaysia kupunguza mawaziri vilaza.
 
Gambo na mtoa bila maelezo, sanga naenda kugoogle
 
Huna wema wowote hapo. Naibu anapokea amri kutoka kwa waziri
 
January ni chaguo la Kikwete ila mama ni lazima ampige chini Kwani hana manufaa
 
Elimu
Ndani
Nje
Biashara
Micheal
Mwigulu
Ummy
Afya
Wote hawafai kifupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…