Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2025Huko 'kule' ni wapi?
Wasalimie Lusewa na Magazini mkuu....Nchi yetu inahitaji service delivery sio mihemko hii ya kila wakati,my President please punguza cabinet yako to 15 minister's,hawa ni rahisi to manage them,sign them performance contract,ondoa RCs wote na bakisha wataalamu kuongoza idara chini ya RDD,hii itasaidia kupunguza matumizi ya serikali na kupeleka fedha nyingi za maendeleo hasa huku Lingusenguse ambako muda mrefu kumesahaulika kwa muda mrefu mno.
Kiukwel hata mm nmefurahi sana. Madam President sasahivi amechangamka, hata akitoa amri famya hivi watu watafanya... tumuombee azidi kuwa mkali... Watanzania tumedekezwa sana ndo maana tumekuwa waoga wa kuthubutu kufanya mambo makubwa....Natamani kila siku niwe nasikia hotuba kama hizi kutoka kwa madam President
Sikumwelewa,huko nje,ina maana nje ya nchi ,Atawapa ubalozi kwenye nchi mbalimbali sio.Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza hayo Ikulu Dar es Salaam wakati akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya COVID-19
Amesema "Nataka niwaambie nitatoa list mpya [ya mawaziri] karibuni. Wale ninaohisi wanaweza kwenda na mimi...nitakwenda nao. Lakini wale wote ninaohisi ndoto zao ni kule, na wanafanya kazi kwa ajili ya kule, nitawapa nafasi waende wakajitayarishe vizuri huko nje."
Hiyo 2025 fever inampiga yeyeNaona huyu mama kesha amua kujatambulisha rasmi kuwa yupo Team gani
"Ni homa (fever) ya 2025, wasameheni"
Hii kauli imebeba mengi
Anafaa vp wakati anamuharibia Rais?? Ana kundi lake la kutaka URAIS 2025?? Yeye ni nani nchi hii?? We unadhani ni yeye tu anayefaa??Mama akimtoa Majaliwa atatengeza mgogoro mkubwa sana nchini, jamaa anafaa kuwa PM
Áisee . . . Na sisi watoto wa wasakatonge itakuwaje ?Ndo watakwenda sawa ujui chama kimerudi kwa wenyewe
Kwa bunge lipi mkuu??Bunge limkatae waziri mkuu Mpya.
Huyo Sanga ni yule mwenye akili au Mkata viuno?Wanaotoka
1. January Makamba
2. Suleiman Jaffo
3. Mwigulu Nchemba
4. Dotto Biteko
5. Dorothy Gwajima
6. Jenister Mhagama
7. Palamagamba Kabudi
Wanaoingia
1. Ridhiwani Kikwete
2. Nape Nnauye
3. Hamis Kigangwala
4. Charles Kimei
5. Mrisho Gambo
6. Festo Sanga
7. Tarimba Abbas
Nasisitiza huu ni Ubashiri wangu tu wa Mkeka na simaanishi kuwa ndiyo itakavyokuwa. Tuelewane vyema tu tafadhali katika hili.
Umeongea kitu cha maana sana huu mkururu wa Mawaziri Vitumbo hauna maana yoyote ni kupoteza pesa na kufuja mali ya Umma tu ingeiga mfumo wa Japan au Malaysia kupunguza mawaziri vilaza.Nchi yetu inahitaji service delivery sio mihemko hii ya kila wakati,my President please punguza cabinet yako to 15 minister's,hawa ni rahisi to manage them,sign them performance contract,ondoa RCs wote na bakisha wataalamu kuongoza idara chini ya RDD,hii itasaidia kupunguza matumizi ya serikali na kupeleka fedha nyingi za maendeleo hasa huku Lingusenguse ambako muda mrefu kumesahaulika kwa muda mrefu mno.
Gambo na mtoa bila maelezo, sanga naenda kugoogleWanaotoka
1. January Makamba
2. Suleiman Jaffo
3. Mwigulu Nchemba
4. Dotto Biteko
5. Dorothy Gwajima
6. Jenister Mhagama
7. Palamagamba Kabudi
Wanaoingia
1. Ridhiwani Kikwete
2. Nape Nnauye
3. Hamis Kigangwala
4. Charles Kimei
5. Mrisho Gambo
6. Festo Sanga
7. Tarimba Abbas
Nasisitiza huu ni Ubashiri wangu tu wa Mkeka na simaanishi kuwa ndiyo itakavyokuwa. Tuelewane vyema tu tafadhali katika hili.
Makamba hawezi kuguswa, yeye ndio mfikishaji wa maelekezo.January makamba na mwigulu wakiachwa kwenye uwaziri Basi hiyo list haitakuwa sahihi maana hao ndio vinara wa 2025.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huna wema wowote hapo. Naibu anapokea amri kutoka kwa waziriKwa maoni yangu Mawaziri/Manaibu wafuatao wameshindwa kumsaidia Mhe. Rais;
1. Wizara ya Viwanda
2. Wizara Kazi ajira, wazee.
3. Naibu Utalii
4. Naibu Ardhi
5. Katiba na sheria
6. Naibu miundombinu.
7. Naibu nishati
8..................
Hayo ni maoni yangu kama raia mwema wa Tanzania.
January ni chaguo la Kikwete ila mama ni lazima ampige chini Kwani hana manufaaKwa maoni yangu Mawaziri/Manaibu wafuatao wameshindwa kumsaidia Mhe. Rais;
1. Wizara ya Viwanda
2. Wizara Kazi ajira, wazee.
3. Naibu Utalii
4. Naibu Ardhi
5. Katiba na sheria
6. Naibu miundombinu.
7. Naibu nishati
8..................
Hayo ni maoni yangu kama raia mwema wa Tanzania.