Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo sio kulalamikiwa maana watanzania ni mabingwa wa kupiga majungu na fitina.Uzuri ni kwamba Samia anapitia mitandaoni, jana nimeamini kwa hotuba ile.
Jinsi Makamba anavyolalamikiwa toka kila kona ya nchi, nitamshangaa sana akimwacha kuendelea kukalia ofusi ya wizara hiyo muhimu.
Kama anapenda kuendelea kumbeba ni bora akampeleka hata wizara ya utamaduni!
Lakini wizara ya Nishati inataka mtu serious asiye na chembe ya mashaka toka kwa umma.
Bora hata Kalemani, January kaingiza Bodi yake na mpigaji nzuri atamuharibia Mama, Jana tu gharama za kuungiwa umeme zimerudi kwa mijini, bado mgawoNishati waondoke wote
mama anataka kuungwa mkono kwa kila kitu ndani ya wana ccm wenzie sasa ukimpinga tuu ni kosa,kosa lingine kuna mawaziri hawafanyi chochote ila wanamuunga mama mkono na mama atawarudisha,,,namshauri achkue viongozi kwenye vyama vingine pale ccm wanamlia timingKwa maoni yangu Mawaziri/Manaibu wafuatao wameshindwa kumsaidia Mhe. Rais;
1. Wizara ya Viwanda
2. Wizara Kazi ajira, wazee.
3. Naibu Utalii
4. Naibu Ardhi
5. Katiba na sheria
6. Naibu miundombinu.
7. Naibu nishati
8..................
Hayo ni maoni yangu kama raia mwema wa Tanzania.
Haya ni maoni au orodha tu.Kwa maoni yangu Mawaziri/Manaibu wafuatao wameshindwa kumsaidia Mhe. Rais;
1. Wizara ya Viwanda
2. Wizara Kazi ajira, wazee.
3. Naibu Utalii
4. Naibu Ardhi
5. Katiba na sheria
6. Naibu miundombinu.
7. Naibu nishati
8..................
Hayo ni maoni yangu kama raia mwema wa Tanzania.
sababu wameshindwa kumsaidia Rais ktk utendaji wa kazi.Haya ni maoni au orodha tu.
Maoni yangekuwa na sababu. Huenda umeandika kwa chuki tu au wivu
Na karibu sana mkuu huku!salaam zimefika .Wasalimie Lusewa na Magazini mkuu....
Shukraani mkuu,hii ni nchi yetu wote ni vema pie hii ya Taifa iwanufaishe watanzania wote,huku Lingusenguse 60yrs baada ya uhuru wa bendera almost mabadiliko ya maisha ni zeroUmeongea kitu cha maana sana huu mkururu wa Mawaziri Vitumbo hauna maana yoyote ni kupoteza pesa na kufuja mali ya Umma tu ingeiga mfumo wa Japan au Malaysia kupunguza mawaziri vilaza.
Kwahilo pete la ruby lazma aitwe wizarani
Kwa nin, au mganga wake ni kiboko?Ningumu wataondoka wote lakin siyo January
Aisee acha udiniTimu mpya => Mohammed, Amir, Juma, Hamis, Shaban, Hassan, Ali..
Waziri wa kilimo na manaibu wakeKwa maoni yangu Mawaziri/Manaibu wafuatao wameshindwa kumsaidia Mhe. Rais;
1. Wizara ya Viwanda
2. Wizara Kazi ajira, wazee.
3. Naibu Utalii
4. Naibu Ardhi
5. Katiba na sheria
6. Naibu miundombinu.
7. Naibu nishati
8..................
Hayo ni maoni yangu kama raia mwema wa Tanzania.
ikichomwa kuzbarat hapo na tulasI can assure you January will survive the coming TSUNAMI!!
Umejitahidi sana,lakini haitakuwa hivyo ila kuna watu kweli wataondoka,kigwa hatopata kwskuwa maza anamjua,hili baraza maza atakuwa so careful ba haitovuja asilaniWanaotoka
1. January Makamba
2. Suleiman Jaffo
3. Mwigulu Nchemba
4. Dotto Biteko
5. Dorothy Gwajima
6. Jenister Mhagama
7. Palamagamba Kabudi
Wanaoingia
1. Ridhiwani Kikwete
2. Nape Nnauye
3. Hamis Kigangwala
4. Charles Kimei
5. Mrisho Gambo
6. Festo Sanga
7. Tarimba Abbas
Nasisitiza huu ni Ubashiri wangu tu wa Mkeka na simaanishi kuwa ndiyo itakavyokuwa. Tuelewane vyema tu tafadhali katika hili.
Wahuni ndio watakaobakizwa na kuongezwa (zama zao zimerejea)Wakuu heri ya mwaka mpya...
Kama tulivyo msikia Mama akisema kuwa hivi karibuni atafanya mabadiliko kwenye baraza lake la mawaziri
Je kwa mtazamo wako wakiutendaji kwa mawaziri hao
Je ni nani anafaa kubaki kwenye baraza ilo na ni nani anafaa kuondolewa kwenye baraza hilo
Aya twende kazi..
Acha ujinga,januari amesomeshwa na the late mkapa,kikwrte alichofanya ni kumpa nafasi ya uongozi,na ukumbuke anefanya kazi na maza wizara mojaJanuary ni chaguo la Kikwete ila mama ni lazima ampige chini Kwani hana manufaa