fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Makamba analalanikiwa kwa kosa lipi?kuna mtu anaweza kuweka ushahidi wa ubaya wa makamba?Uzuri ni kwamba Samia anapitia mitandaoni, jana nimeamini kwa hotuba ile.
Jinsi Makamba anavyolalamikiwa toka kila kona ya nchi, nitamshangaa sana akimwacha kuendelea kukalia ofusi ya wizara hiyo muhimu.
Kama anapenda kuendelea kumbeba ni bora akampeleka hata wizara ya utamaduni!
Lakini wizara ya Nishati inataka mtu serious asiye na chembe ya mashaka toka kwa umma.
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app