Baada ya kuweka koma kwenye orodha ya kwanza ya Mawaziri, Rais Samia asema atatangaza orodha mpya karibuni

Makamba analalanikiwa kwa kosa lipi?kuna mtu anaweza kuweka ushahidi wa ubaya wa makamba?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
January ni chaguo la Kikwete ila mama ni lazima ampige chini Kwani hana manufaa
January hawezi kupigwa chini, maana jana alisaidiwa kabisa na mkulu kumsemea kuhusu kupandisha bei ya connection charges pale Tanesco na akamuagiza akafanye kazi, that implies walau yeye ana uhakika. Unless nawe awe na homa ya "UKULU 2025"

January ajitahidi umeme uwe stable maana kwa sasa una blink kweli, JNHPP imalizike kwa haraka ili uzalishaji uongezeke.

HK japo anaweza kwenda wizara ya afya, japo kuwa wengi wanaweza "ku-mind" kwa namna alivyo na mafigisu na kujimwambafy huko mitandaoni, ila kwa kuwa ni public health specialist, na aliweza kuwa flexible kuji-reposition, sitashangaa nikimwona akirejea kwenye pdf lijalo.

Tuwatakie kheri wateuliwa wengine wote, msaidieni madam SSH kuwatumikia wananchi
 
Kitakachoshangaza timu sukama gang watatoka hata hawana Nia ya kugombea kiti cha uraisi. Ila wengine wenye harakati za uraisi watabaki Kama makamba na mwigulu kutokana na hotuba ya Jana kuwasifia. Neno stress za uraisi linatumika badala ya sukuma gang

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huyo namba 1 hawezi toka yuko kwa baraka za Msogani Enterprises!
 
Qasim atolewe tuanze upya
 
Wanaotoka na Dr.Biteko tena?Sidhani.Umejitahidi lakini kulenga
 
Spika hata kama atabaki hatakaa apikike chungu kimoja tena na bi mkubwa.. Itakuwa ni mwendo wa kuwindana..
PM unaweza kumeza machungu lakini inategemea kama naye alikuwa na zake za chinichini atapigwa pini kimyakimya na kutakuwa pia kuna kuwindana kusikoisha..
In fact serikali ya CCM kuanzia sasa mpaka 2025 itakuwa ya burudani tupu.. Kama ikifanikiwa kufika lakini...

Mkeka wowote ujao hautaleta unafuu wowote bali utazidisha mkanganyiko chuki, makundi na kutafutana
Kama kuna kipindi walikuwa hawaaminiani kwenye maji sasa itakuwa mpaka kwenye salamu
 
JANUARY hana baya kwa MAMA SAMIA na wala sio KUNDI lile atabakia.
 
JEMBE KIMEI ASIKOSE ANA INTELECTUAL YA HALI YA JUU KATIKA MASWALA YA UCHUMI FINACIAL NA BIASHARA ANA ROHO SAFI NYEUPE HATOI USHAURI WA KINAFKI BALI
 
Makamba Jr na Jenister Mhagama sidhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…