Baada ya kuweka koma kwenye orodha ya kwanza ya Mawaziri, Rais Samia asema atatangaza orodha mpya karibuni

Watachanguliwa timu Msoga pure
 
Nikuombe Mheshimiwa Rais kwa upande wa mawaziri na manaibu naomba usimpe Yeyote hata aliyewahi shika akatolewa na Magufuli


Fumua wote kasoro wanne tu nao ni Ummy Mwalimu, Lukuvi, Profesa Mbarawa Na Stagomena Tax


Wengine wanafiki tu wachumia tumbo Mioyo yao kigeugeu na wapo kuvizia fursa tu
 
Kwa akili ya kawaida hawezi fanya hivyo hata JPM aliowakuta kina Lukuvi,Simbachawene,
 
Umeshageuka. Wazee wa fursa hamchelewi😅😅😅😅
 
Kabudi,dotto,waitara,katambi out bashe anakuwa waziri kamili kigwangala anapewa wizara dr.samizi analamba uteuzi ndalichako anabadilishwa wizara
 
Hizi ni pumba wote kasoro wanne ndio kitu gan.
 
Asipomtoa huyo uhuni wake (Hagaya) ndio utazidi kudhihirika
Duuuh yaani unadiriki kumuita hivyo amiri Jeshi wa Majeshi ya ulinzi na usalama?!!!!😳😳

Kweli Komredi Polepole amewaharibu......
 
mkuu, kwa nn hao wanne awaache??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…