Baada ya kuweka koma kwenye orodha ya kwanza ya Mawaziri, Rais Samia asema atatangaza orodha mpya karibuni

Waganga wako bize mno jioni hii kutoka kwa wateja wao
 
Wakuu heri ya mwaka mpya...

Kama tulivyo msikia Mama akisema kuwa hivi karibuni atafanya mabadiliko kwenye baraza lake la mawaziri
Je kwa mtazamo wako wakiutendaji kwa mawaziri hao
Je ni nani anafaa kubaki kwenye baraza ilo na ni nani anafaa kuondolewa kwenye baraza hilo

Aya twende kazi..
 
Hivi si ndio alifanya Magufuli?
 
Mama akimtoa Majaliwa atatengeza mgogoro mkubwa sana nchini, jamaa anafaa kuwa PM
Wakimla kichwa nitaichukia serikali mpaka kufa.Aisee hapa nishaanza kuchoma ubani huku nasoma visomo vya quran tukufu kwaajili ya shujaa wetu Majaliwa yasimpate haya mambo ya kikuma gang.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…