Baada ya kuweka koma kwenye orodha ya kwanza ya Mawaziri, Rais Samia asema atatangaza orodha mpya karibuni

Mama piga konzi hadi mwisho
Fanya utakavyo tu

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Biteko anaweza fyekwa! Japo alichagua kukaa kimya labda itamsaidia!
 
Ni wakati wa waganga wa jadi kupiga hela.

Tuchangamkie fursa hii ndugu Watanzania.

Nasema uongo ndugu zangu?
 
Asante sana mama mungu akusaidie katika hilo
Adui ni usiyemjua
Ukishamjua hakusumbui
 
Ikimpendeza afukuze wote hadi yeye mwwnyewe
 
Hamna anayefaa kubaki wote awatoe achague vijana toka CCM vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…