Baada ya kuweka koma kwenye orodha ya kwanza ya Mawaziri, Rais Samia asema atatangaza orodha mpya karibuni

Wakuu heri ya mwaka mpya...

Kama tulivyo msikia Mama akisema kuwa hivi karibuni atafanya mabadiliko kwenye baraza lake la mawaziri
Je kwa mtazamo wako wakiutendaji kwa mawaziri hao
Je ni nani anafaa kubaki kwenye baraza ilo na ni nani anafaa kuondolewa kwenye baraza hilo

Aya twende kazi..
Atoe wabongo wote maana miaka yote serikali ni ya muungano lakini mawaziri majority ni bara huko, mabalozi wote ni vichogo toka bara sasa ateue majority kutoka zanzibar maana ndio hakuna namna nyengine serikali ni ya muungano tumechoka utawala wa kitanganyika.,

Sasa ni zamu ya Zanzibar kuongoza serikali ya muungano, ivyoivyo.., sijuli lukuvi sijuli kasimu nani tupa kule
 
Ndio ilipaswa post ieleze hayo
mkuu kila kitu kina fahamika, au hujui kama mabadiliko ya baraza yanakuja? na Mhe. Rais ksema inaamlaazimu kufanya mabadiliko kwa sababu ambazo yeye kaziona na zingine hata sisi wananchi tumeziona.
Mungu ibariki Tanzaania
 
Lukuvi naye aondolewe tu. Wizara ya ardhi ipelekewe damu changa yenye kujua changamoto za sekta husika. Ninaamini wapo akiwatafuta atawapata
Lukuvi Ardhi kaiweza tena mno

Hapatatakiwi abadilishwe

Mashahidi wananchi sio maofisa wa serikali. kaulize wananchi
 
Alaa!!, Leo unawakana sukuma gang wenzio!? Bado mtanyooshwa sana
tafadhali mimi naangalia mstakabali wa nchi na viongozi waliopo sio sahihi Mama Samia kuwa ataendana na vinyonga waliokuwa wakimpigia makofi Magufuli alipokufa wanahamia kwake wakimponda Magufuli sana na kumsifu yeye atafute damu yake mpya kabisa New praise Team yake tu sio hao vinyonga

Aweke Team yake mpya kabisa ya kumsifia yeye sio hao mabaradhuli Magufuli akiwepo wanamwimbia nyimbo za sifa na kuabudu akiondoka wanamponda hasa

Hiyo mijitu hata ubungea au uongozi wa chama isirudi

Mama Samia aweke watu wakke New blood and ne praise Team ambao hata wakimsifu atajua wanamsifu kweli sio kinafiki kuwinda fursa

atafanya kazi kwa uhuru na akimwagiwa sifa atazipokea kuwa zimetoka sio kwa wanafiki wawinda fursa
 
watakaochaguliwa na beti january nape ridhwan ummy mchengerwa bashe stergomana lukuvi mhagama mwiguru ndio mawaziri watakaochaguliwa nimebahatisha ongezeni na nyinyi
 
tafadhali mimi naangalia mstakabali wa nchi na viongozi waliopo sio sahihi Mama Samia kuwa ataendana na vinyonga waliokuwa wakimpigia makofi Magufuli alipokufa wanahamia kwake wakimponda Magufuli sana na kumsifu yeye atafute damu yake mpya kabisa New praise Team yake tu sio hao vinyonga

Aweke Team yake mpya kabisa ya kumsifia yeye sio hao mabaradhuli Magufuli akiwepo wanamwimbia nyimbo za sifa na kuabudu akiondoka wanamponda hasa

Hiyo mijitu hata ubungea au uongozi wa chama isirudi

Mama Samia aweke watu wakke New blood and ne praise Team ambao hata wakimsifu atajua wanamsifu kweli sio kinafiki kuwinda fursa

atafanya kazi kwa uhuru na akimwagiwa sifa atazipokea kuwa zimetoka sio kwa wanafiki wawinda fursa
Katika hili naungana na ww!!mama aweke watu wake kabisaaa ambao watakua loyal kwake!!wapyaa kabisaaa
 
tafadhali mimi naangalia mstakabali wa nchi na viongozi waliopo sio sahihi Mama Samia kuwa ataendana na vinyonga waliokuwa wakimpigia makofi Magufuli alipokufa wanahamia kwake wakimponda Magufuli sana na kumsifu yeye atafute damu yake mpya kabisa New praise Team yake tu sio hao vinyonga

Aweke Team yake mpya kabisa ya kumsifia yeye sio hao mabaradhuli Magufuli akiwepo wanamwimbia nyimbo za sifa na kuabudu akiondoka wanamponda hasa

Hiyo mijitu hata ubungea au uongozi wa chama isirudi

Mama Samia aweke watu wakke New blood and ne praise Team ambao hata wakimsifu atajua wanamsifu kweli sio kinafiki kuwinda fursa

atafanya kazi kwa uhuru na akimwagiwa sifa atazipokea kuwa zimetoka sio kwa wanafiki wawinda fursa
Exactly, tumuunge mkono Rais,tuachane na wanafiki kina ndugai na washirika wake
 
Back
Top Bottom