fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Lukuvi ni team majaaliwaHawa chini kwa vyovyote lazima watasalia
Ummy
Makamba
Gwajima
Dotto
Lukuvi
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lukuvi ni team majaaliwaHawa chini kwa vyovyote lazima watasalia
Ummy
Makamba
Gwajima
Dotto
Lukuvi
Atoe wabongo wote maana miaka yote serikali ni ya muungano lakini mawaziri majority ni bara huko, mabalozi wote ni vichogo toka bara sasa ateue majority kutoka zanzibar maana ndio hakuna namna nyengine serikali ni ya muungano tumechoka utawala wa kitanganyika.,Wakuu heri ya mwaka mpya...
Kama tulivyo msikia Mama akisema kuwa hivi karibuni atafanya mabadiliko kwenye baraza lake la mawaziri
Je kwa mtazamo wako wakiutendaji kwa mawaziri hao
Je ni nani anafaa kubaki kwenye baraza ilo na ni nani anafaa kuondolewa kwenye baraza hilo
Aya twende kazi..
Mama samia kanifurahisha leo natoa vyote
Ndio ilipaswa post ieleze hayosababu wameshindwa kumsaidia Rais ktk utendaji wa kazi.
Mbona mitaala wanabadisha sana enzi za jk.Sijui ni pekeangu?? Natamani waziri wa Elimu atakaebadili mtaala wa Elimu ktk nchi yetu......
kwa bahati mbaya Haijawai kutokea tangu uhuru hakuna Waziri wa Elim alieitendea haki Wizara hii HAKUNA
mkuu kila kitu kina fahamika, au hujui kama mabadiliko ya baraza yanakuja? na Mhe. Rais ksema inaamlaazimu kufanya mabadiliko kwa sababu ambazo yeye kaziona na zingine hata sisi wananchi tumeziona.Ndio ilipaswa post ieleze hayo

Job ashaomba msamaha ataweza wapiiYeye na mawaziri wake wote hawatoshi, sema vile yeye ndo boss ila ukweli uwezo wake uko chini sana hata job nae kama anaweza kumwondoa amwondoe tu
Lukuvi Ardhi kaiweza tena mnoLukuvi naye aondolewe tu. Wizara ya ardhi ipelekewe damu changa yenye kujua changamoto za sekta husika. Ninaamini wapo akiwatafuta atawapata
Mbarawa hatoki.Mbarawa out, Jafo out,
tafadhali mimi naangalia mstakabali wa nchi na viongozi waliopo sio sahihi Mama Samia kuwa ataendana na vinyonga waliokuwa wakimpigia makofi Magufuli alipokufa wanahamia kwake wakimponda Magufuli sana na kumsifu yeye atafute damu yake mpya kabisa New praise Team yake tu sio hao vinyongaAlaa!!, Leo unawakana sukuma gang wenzio!? Bado mtanyooshwa sana
Mama anaupiga mwingi sanaHuko 'kule' ni wapi?
Hao wanajikita zaidi kwenye utendaji Sio politics Japokuwa ni wana siasamkuu, kwa nn hao wanne awaache??
We mzima lkn?? Spika amewashiwa moto sembuse Kabudi.
Katika hili naungana na ww!!mama aweke watu wake kabisaaa ambao watakua loyal kwake!!wapyaa kabisaaatafadhali mimi naangalia mstakabali wa nchi na viongozi waliopo sio sahihi Mama Samia kuwa ataendana na vinyonga waliokuwa wakimpigia makofi Magufuli alipokufa wanahamia kwake wakimponda Magufuli sana na kumsifu yeye atafute damu yake mpya kabisa New praise Team yake tu sio hao vinyonga
Aweke Team yake mpya kabisa ya kumsifia yeye sio hao mabaradhuli Magufuli akiwepo wanamwimbia nyimbo za sifa na kuabudu akiondoka wanamponda hasa
Hiyo mijitu hata ubungea au uongozi wa chama isirudi
Mama Samia aweke watu wakke New blood and ne praise Team ambao hata wakimsifu atajua wanamsifu kweli sio kinafiki kuwinda fursa
atafanya kazi kwa uhuru na akimwagiwa sifa atazipokea kuwa zimetoka sio kwa wanafiki wawinda fursa
😂😂😂😂😂😂😂😂Namuona mwanafa akichukua mikoba ya machungwa!
Kuna fununu lisu anakuja kushika wizara[emoji23][emoji23]Bi mkubwa safisha timu Mataga yote wanakufitini.
Exactly, tumuunge mkono Rais,tuachane na wanafiki kina ndugai na washirika waketafadhali mimi naangalia mstakabali wa nchi na viongozi waliopo sio sahihi Mama Samia kuwa ataendana na vinyonga waliokuwa wakimpigia makofi Magufuli alipokufa wanahamia kwake wakimponda Magufuli sana na kumsifu yeye atafute damu yake mpya kabisa New praise Team yake tu sio hao vinyonga