..Deo Mwanyika ambaye ametajwa na
Savimbi Jr ni mwanachama wa CCM na ameshinda kura za maoni kugombea ubunge.
..sasa hii dhana ya kwamba TL ni msaliti kwa kuzungumza na Deo Mwanyika na anastahili kupigwa risasi nyingi kiasi kile inatoka wapi?
..kama ni kuongea na Deo Mwanyika ni usaliti kwa nchi, je, kuongea na mabosi wake wa kutokea Barrick siyo usaliti zaidi?
..pia ziko taarifa kwamba aliyekuwa akizungumza na Deo Mwanyika ni mbunge mwingine ktk bunge la jamhuri na siyo TL.
NB:
..binafsi sioni tatizo la mtu yeyote yule kuzungumza na watu wa accacia kwa nia ya kupata UKWELI.
..hata tume za uchunguzi zilizoundwa na serikali nina hakika zilitafuta taarifa toka accacia na kuzitumia ktk ripoti zao.
..zaidi, ktk kutenda HAKI ni lazima pande zote zisikilizwe; upande wa muwekezaji usikilizwe, na upande wa serikali usikilizwe.