Baada ya Lissu kutwaa madaraka, wale waliotenda makosa wakiwa madarakani wasamehewe tuanze upya au Sheria ifuate mkondo wake?

Mkuu kila mtu ataenda kula alipopeleka mboga ,kumpiga tundu lissu risasi 16 , unamuua ben saa8 , unamuua azory halafu useme tukusamehe wakati wanajulikana waliofanya hivyo? Sheria lazima ichukue mkondo wake hakuna namna kuna vitu vya kusamehe lakini sio unyama huu walioufanya.

Ingekuwa wizi ni tungetaifisha mali zao ila kuua lazima nao wauawe "ilaji ilaji" dawa ya moto ni moto.
Aiseeeeee !!!
 
Tubadili katiba kwanza
IMG-20200809-WA0035.jpeg
 
Hahahahahaha Lissu kutwaa madaraka ?? Naamini hata mwendawazimu hawezi kuota ndoto kama hiyo.

Umeona jinsi jana alivyooga aibu ???
 
Kinachotakiwa audio clips za Lissu zitolewe tujue alikuwa anafanya uhaini gani nyuma ya pazia. Sio kumfichia siri.
Yes kama alivyosema walikuwa "wanatrepu" simu zake na kusikia akimtaka mwanyika ampe documents zile mara docments hizi.
 
Ndio maana naona sasa ni muda muafaka zitolewe tusikie maana kipindi kile alikuwa akipotosha sana kuhusu MIGA (which by the way ni insurer tu wala ahusiki na mambo ya mahakama).

Ata kama serikali aihusiki na tukio lake kwa kuwa wana record zake wacha jamii imjue Lissu alikuwa anafanya nini nyuma ya pazia kwenye kuvuruga jitihada za serikali.
 
Kuna haja ya kulijadili hili mapema ili kutoana hofu, hasa baada ya Watanzania wengi kuahidi kumchagua Tundu Lissu ili awe Rais wao.

Bila shaka madaraka yanalevya na kuna wanaofahamika kutumia madaraka yao vibaya kwa kudhani kwamba watakuwa madarakani milele, sasa ni dhahiri kwamba muda wao umekwisha ghafla bila wenyewe kujiandaa, huku ikitajwa kwamba ujio wa lissu "The Game Changer" umeharakisha kung'oka kwao.

Sasa nimekuja kwenu wana JF kuuliza hivi, hawa waliotumia madaraka yao vibaya tuwakusanye uwanja wa Taifa tuwaonye na kuwakaripia kwa uchafu wao na kuwasamehe tu au tuache Sheria ichukue mkondo wake?

Kwa upande wangu mimi ni muumini wa kufuata Sheria na haki.
Acha utoto mtanzania gani atachamgua Lissu? Nani ameahidi huu upuuzi? Kama kushughulikia wanaotumia madaraka vibaya kwani Ccm haifanyi hivyo? Tumbua tumbua huzioni?
 
Mfano unamfariji vipi mzazi wa Ben Sanane, au TL mwenyewe ? Uovu wa kukusudia kabisa wapaswa kuadhibiwa.

..ni pamoja na kumuomba MSAMAHA.

..hata ukiwafunga au kuwanyonga waliomuu mwanae, bado haiondoi ukweli kwamba mwanae hayupo tena.

..kinachotafutwa ni MARIDHIANO / MAPATANO na siyo kuadhibu.

..Ndicho kilichotokea Afrika Kusini na kuwashawishi Makaburu kuachia madaraka.

..Tusipokubali hilo CCM wataendelea kung'ang'ania madaraka kwa kuogopa visasi, na ktk kung'ang'ania huko madaraka wataendelea kuumiza wengi zaidi.
 
Hili itabidi tulijadili kwa kina wapo makundi tofauti. Kama jiwe inabidi apewe kesi kwanza ya mauaji na ukiukaji wa Haki za kibinadamu.
Amemuua nani? Ukiukwaj gani wa haki za bindamu? Una ushahidi gani ambao ni tangible?
 
Ndio maana naona sasa ni muda muafaka zitolewe tusikie maana kipindi kile alikuwa akipotosha sana kuhusu MIGA (which by the way ni insurer tu wala ahusiki na mambo ya mahakama).

Ata kama serikali aihusiki na tukio lake kwa kuwa wana record zake wacha jamii imjue Lissu alikuwa anafanya nini nyuma ya pazia kwenye kuvuruga jitihada za serikali.

..Deo Mwanyika ambaye ametajwa na Savimbi Jr ni mwanachama wa CCM na ameshinda kura za maoni kugombea ubunge.

..sasa hii dhana ya kwamba TL ni msaliti kwa kuzungumza na Deo Mwanyika na anastahili kupigwa risasi nyingi kiasi kile inatoka wapi?

..kama ni kuongea na Deo Mwanyika ni usaliti kwa nchi, je, kuongea na mabosi wake wa kutokea Barrick siyo usaliti zaidi?

..pia ziko taarifa kwamba aliyekuwa akizungumza na Deo Mwanyika ni mbunge mwingine ktk bunge la jamhuri na siyo TL.

NB:

..binafsi sioni tatizo la mtu yeyote yule kuzungumza na watu wa accacia kwa nia ya kupata UKWELI.

..hata tume za uchunguzi zilizoundwa na serikali nina hakika zilitafuta taarifa toka accacia na kuzitumia ktk ripoti zao.

..zaidi, ktk kutenda HAKI ni lazima pande zote zisikilizwe; upande wa muwekezaji usikilizwe, na upande wa serikali usikilizwe.
 
Nakubaliana na wewe kupata taarifa sio kosa kwanza ni dalili za mtu mwelewa busara ni kupata balance story na hatimae kutoa judgment based on evidence or merit of claims from both sides.

Issue hapa ni motive ya kupata taarifa Lissu akuanzia kwenye neutral position. Filimbi ya ACCACIA ilivyopigwa tu tayari alikuwa na upande (against the government actions) yenye lengo la kukatisha tamaa na kuanza kubeza hadi kutunga uongo wa MIGA.

Swala la Lissu kuwa na upande ilo lipo wazi ukitaka kubisha ni kubisha tu. Kwa maana hiyo it’s fair to say utafutaji wake wa taarifa logically ni kusapoti his line of reasoning kwa makusudi ya kupata info za kuangamiza jitihada za serikali.

Huyu mtu alikuwa na matatizo na Magufuli muda tu alipotoeuliwa na alionywa mara kadhaa achana na mambo ya ACCACIA hakutaka kusikia hadi kufikia kuongopa tutaenda shitakiwa MIGA ndio maana naona ni busara wahusika watoe audio clips, ata kama awahusiki ili jamii imjue vizuri sio kulia lia as if he didn’t have a part to play hadi kufikia matatizo yake (sio kwamba nafurahia kilichomtokea) hila mambo mengine tunajitakia.

Wewe leo bado unaamini MIGA inahusika na mambo ya dispute resolution?
 
Nakubaliana na wewe kupata taarifa sio kosa kwanza ni dalili za mtu mwelewa busara ni kupata balance story na hatimae kutoa judgment based on evidence.

Issue hapa ni motive ya kupata taarifa Lissu akuanzia kwenye neutral position. Filimbi ya ACCACIA ilivyopigwa tu tayari alikuwa na upande (against the government actions) lenye lengo la kukatisha tamaa na kuanza kubeza hadi kutunga uongo wa MIGA.

Swala la Lissu kuwa na upande ilo lipo wazi ukitaka kubisha ni kubisha tu. Kwa maana hiyo it’s fair to say utafutaji wake wa taarifa logically ni kusapoti his line of reasoning kwa makusudi ya kupata info za kuangamiza jitihada za serikali.

Huyu mtu alikuwa na matatizo na Magufuli muda tu alipotoeuliwa na alionywa mara kadhaa achana na mambo ya ACCACIA hakutaka kusikia hadi kufikia kuongopa tutaenda shitakiwa MIGA ndio maana naona ni busara wahusika watoe audio clips, ata kama awahusiki ili jamii imjue vizuri sio kulia lia as if he didn’t have a part to play hadi kufikia matatizo ya (sio kwamba nafurahia kilichomtokea) hila mambo mengine tunajitakia.

Wewe leo bado unaamini MIGA inahusika mambo ya dispute resolution?

..kwenye suala la accacia serikali na tume zake walikuwa wanadanganya na TL ndiye aliyekuwa na ujasiri wa kutoka hadharani na kuukataa uongo huo.

..yaani umuue TL kwa suala la madini, huku ukiwaacha waliosaini mikataba hiyo, walioipitisha, na walioitete kwa miaka zaidi ya 15 wakati TL akiipinga?

NB:

..hatujalipwa usd 191 billion.

..smelter haijajengwa.

..makinikia yanaendelea kusafirishwa.

..disputes zinaendelea kuwa resolved nje ya nchi.
 
Sikiliza na hapo lipi limetokea katika utabiri wake? Kama huo sio uchawi sijui utaitaje.

Sasa sijui nani muongo zaidi Lissu au tume iliyokuwa inatengeneza bargaining argument be it the value was exaggerated. Uongo wa Lissu ulikuwa ni wa kuvuruga na kukatisha tamaa unakosa moral support whereas wa tume za madini enhe you can forgive in the name of national interest.

Hayo maswala ya kwanini smelter aikujengwa ni complicated na inahitaji mjadala wake wa kibiashara wenye kujustify investment benefit za kufanya mambo internally au ku outsource it is not straight forward kama tunavyotaka kuambizana.

Kwa ivyo inawezekana serikali ilitaka smelter ijengwe kwenye negotiations kumbuka hizi investment mwekezaji hela yake inatakiwa kurudi akikujengea na hilo lina affect what you get back after investment cost have been paid ndio mnagawana faida.

Like I said swala la smelter is complicated and it requires a lot of investment data, company income data and cost of operating the smelter to justify if it worth doing smelting internal or outsourcing.
 
Kuna haja ya kulijadili hili mapema ili kutoana hofu, hasa baada ya Watanzania wengi kuahidi kumchagua Tundu Lissu ili awe Rais wao.

Bila shaka madaraka yanalevya na kuna wanaofahamika kutumia madaraka yao vibaya kwa kudhani kwamba watakuwa madarakani milele, sasa ni dhahiri kwamba muda wao umekwisha ghafla bila wenyewe kujiandaa, huku ikitajwa kwamba ujio wa lissu "The Game Changer" umeharakisha kung'oka kwao.

Sasa nimekuja kwenu wana JF kuuliza hivi, hawa waliotumia madaraka yao vibaya tuwakusanye uwanja wa Taifa tuwaonye na kuwakaripia kwa uchafu wao na kuwasamehe tu au tuache Sheria ichukue mkondo wake?

Kwa upande wangu mimi ni muumini wa kufuata Sheria na haki.
Naamini utakuwa utawala unaozingatia sheria na haki.
 
Mwanzoni hata kabla slaa hajaondoka tuliazimia list of shame wote kuwashughulikia, lakini wengine wameanza kutangulia kwa hofu waliobaki Tutawasamehe tu, ili tujenge nchi
 
Kuna haja ya kulijadili hili mapema ili kutoana hofu, hasa baada ya Watanzania wengi kuahidi kumchagua Tundu Lissu ili awe Rais wao.

Bila shaka madaraka yanalevya na kuna wanaofahamika kutumia madaraka yao vibaya kwa kudhani kwamba watakuwa madarakani milele, sasa ni dhahiri kwamba muda wao umekwisha ghafla bila wenyewe kujiandaa, huku ikitajwa kwamba ujio wa lissu "The Game Changer" umeharakisha kung'oka kwao.

Sasa nimekuja kwenu wana JF kuuliza hivi, hawa waliotumia madaraka yao vibaya tuwakusanye uwanja wa Taifa tuwaonye na kuwakaripia kwa uchafu wao na kuwasamehe tu au tuache Sheria ichukue mkondo wake?

Kwa upande wangu mimi ni muumini wa kufuata Sheria na haki.
Wasamahewe tuanzae upya.
 
Sikiliza na hapo lipi hapo limetokea katika utabiri wake? Kama huo sio uchawi sijui utaitaje. Sasa sijui nani muongo zaidi Lissu au tume iliyokuwa inatengeneza bargaining argument be it the value was exaggerated.

Hayo maswala ya kwanini smelter aikujengwa ni complicated na inahitaji mjadala wake wa kibiashara wenye kujustify investment benefit za kufanya mambo internally au ku outsource it is not straight forward.

..muongo ni tume na Jpm.

..kwasababu huwezi kudai usd 191 billion halafu bila maelezo ya kina ukakubali "ahadi" ya usd 300 million.

..masuala ya smelter tume ilituambia ni straight forward, kwamba itajengwa hapahapa Tz, badala yake tunaona serikali inanunua midege toka kwa mabeberu.
 
Anaye ua kwa upanga, ni vizuri akifa kwa upanga huo huo.
 
..muongo ni tume na Jpm.

..kwasababu huwezi kudai usd 191 billion halafu bila maelezo ya kina ukakubali "ahadi" ya usd 300 million.

..masuala ya smelter tume ilituambia ni straight forward, kwamba itajengwa hapahapa Tz, badala yake tunaona serikali inanunua midege toka kwa mabeberu.

Mbona ujajibu lipi limetokea hapo katika ivyo vitisho vya Lissu; japo moja tu katika hayo mambo yote aliyoongea.

Ukitoka hapo utaenda kuchangia serikali imekopa sana kama huyo Tundu Lissu utakopeshwa kama auna mahusiano mazuri ya kidiplomasia duniani.

Na alikuwa na lengo gani kukatisha serikali tamaa?

Mchana mwema mkuu
 
..waTz wanajua mtetezi wa rasilimali zao ikiwemo madini ni TL.

..historia yake imeanzia Rufiji delta, Bulyankulu, Nzega, Geita, Buzwagi, North Mara, mpaka mikoa ya kusini.

..ukweli huo uliposhindikana kufutwa ndipo wakatumwa wasiojulikana kwenda kumshambulia kwa risasi.
 
Hakika !
 
Back
Top Bottom