Baada ya mahojiano ya Chief Odemba na Tundu Lissu leo nimeelewa kwa nini dereva yuko Ubeligiji

Hivi Lissu mwenyewe hawezi kufungua mashtaka ya jaribio la kutaka kuuliwa? Inaonekana anaushahidi mwingi sana.
 
Hakuna haja ya katiba Mpya na Polisi kutenda haki!!

Polisi wafuate PGO na kutenda haki!!

Wafanye kazi kwa miongozo na ethic's zao over
 
Unamkumbuka Ulimboka? Mo je? Basi huenda alipewa vitisho vikali na sehemu ya kutoa taarifa ni kwa hao hao watekaji!

Bila shaka + udhalilishwaji nyuma ya camera vinginevyo kila mtu atajua yaliyomsibu mtu na heshima zake.
 
Kama mliweza kumnyofoa uhai chacha Wangwe mtashindwa nini' kwa lissu?!!! Kama mliweza kumnyofoa jicho na meno kibanda siku Moja tu baada ya kuandika jambo la kumsifia jk kwa jambo flani mtashindwa kumshughulikia lissu na wengine?!!!! Kawadanganyeni mapoyoyo, mi Niko makini sana!
 
Polisi ni chombo cha wanasiasa waliopo madarakani..... uwezo wao wa kufanya upelelezi ni mkubwa sana, ila kama wanasiasa hawajaamua, unaweza kuua mtu mbele ya kamera na wakasema hatumjui mtu huyu
 
Tafuta story yenye mashiko basi Tundu Lisu mwenyewe anasapoti ushoga na yupo huru, eti dereva wake atapotezwa, mfyyyyyuuuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ