Wakuu,
Baada ya malalamiko ya wanachi kupitia mitandao ya kijamii hatimae wamesitisha gharama hizo kumbe inawezekana kupanda kwa gharama bidhaa mbalimbali sababu huwenda ni mfumo wa serikali na wanaweza kupunguza wakiamua.
Mfano wa bidhaa za wananchi hulalamikia serikali ni kupanda kwa bei sukari,mafuta ya kupikia na saruji na bidhaa za ujenzi nk
Serikali naomba iangalie hizi bidhaa kwanini zimepanda sana sana irekebishe wananchi wa wakaida wajenge nyumba,mama n'tilie akiwa elfu Tz 25,000 aweze kuanzisha mtaji wa kuchoma maandazi, wanachi tufurahie maisha mzunguko wa pesa uwe mwingi mapato mbona yatapatikana hata trillion 2.5 kwa mwezi.
Inawezakana....