Baada ya Malalamiko ya wananchi, Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi

Baada ya Malalamiko ya wananchi, Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi

View attachment 1741713

AUAE KWA UPANGA, ATAKUFA KWA UPANGA!

"Kila auae kwa upanga, naye ataangamia kwa upanga" (Mathayo 26:52)! Hayo ndiyo maneno ambayo Yesu alimwambia Mtume Petro usiku wa Alhamisi Kuu. Hiyo ni kanuni ya kiroho! Upanga katika Biblia ni ishara ya mamlaka. Mtu ye yote aliyekabidhiwa mamlaka hatakiwi kuitumia mamlaka yake vibaya kwa kutesa, kufedhehesha, kunyanyasa, kuharibu, kunyamazisha, kupora, na hata kuua wengine. Akifanya hivyo, na yeye atakuja kufanyiwa hivyo hivyo na mamlaka nyingine iwe ya kidunia au ya Mungu moja kwa moja! Ninawatakia tafakuri njema ya Ijumaa Kuu.

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula - Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki
Salam zimefika kwa walengwa
 
Seriously walidhani kuna mtu angekubali huo unyonyaji
Yaani wanafanya mambo kwa kukurupuka sana kama wanaishi peke yao.

Kinachouma na kukasirisha zaidi ni kuondoa vifurushi vya usiku.
 
Mbona bado viko vile vile? Wasitufanye wadwanzi walikua wanajua kitakachotokea
 
Kitendo cha kukaa hapo Sam Nujoma road huku mmejifungia makamera mengi na kufuga vitambi kwa kodi zetu sisi wananchi kisha mnakuja kutuumiza sisi tunao walipa misharaha ni kitendo kisaliti na kilitakiwa kifanywe na wakoloni. Mmekua mnakurupuka maelekezo ya kila aina mengine ni yakipuuzi na yakujipendekeza kwa watawala muonekane mnafanya kazi kumbe wababaishaji tu wachumia tumbo.... Hizi si zama za kujipendekeza mtaenguliwa wote hapo SIMU 2000.
 
Wanatuchezea akili washaona watanzania hatujui kuhoji, washushe na bei kbs.
Batch of idiots
 
Hivi vifurushi haviendani na maisha ya M'tanzania wa kawaida ...wabadili haraka ...lasivyo wata discourage watu wengi mnoo
 
MATAGA msijafanye kukenua huku akili zenu zote ni kutaka kumkwamisha mama Samia

Yaani umekaa hapo unawaza upuuzi wako halafu unalazimisha huo upuuzi yawe ndio mawazo ya watu wenye akili timamu🙄🙄

Tumkwamishe ili wewe ndio uwe rais??

Wewe ndio ulimteua kuwa makamu wa rais mara ya kwanza na ya pili? Wewe ndio uliwateua mawaziri na mabalozi waliopo?

Hebu kapambane na Tundu au tulizana.....!!

Nchi yetu iko imara sana
Chama cha mapindunzi kiko imara
Serikali ya Tanzania iko imara

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote 😍🇹🇿🔥

Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli 🕊
 
Daah vodacom University offers jaman nlikuwa napata 4 GB kwa buku kwa siku mbili (usiku) ila nilichokikuta hukooooooo 😭😭😭🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️
 
Back
Top Bottom