Benz Petrol
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 504
- 196
nilifadhaika kuwakosa hewani.
pole M.M.....leo siku yangu haikuwa vizuri kuikosa JF...
Walaaniwe. Yaani tumepata shida kweli. Mimi niliishia kucheck Mwananchi digital - walijitahidi kidogo kuleta vi-updates uchwara uchwara lakini waliweza kunisogeza hadi hapa. Hongera sana kwa kuwashinda maaduiWatu tumepwaya sana baada ya huu mtandao kuwa attacked... Ni kama kuliwa hakuna chombo kingine cha kutupasha habari
Dah nilikuwa nadata kila nikijaribu kuingia humu inashindikana. Hongereni kwa kazi
Mnadanganywa