permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Kama ni mtu mzima hapo ulipo, kuna tatizo sehemu.Imeishia kwa mgombea mwenza
Kwani umeona tukirudia kupiga kura!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni mtu mzima hapo ulipo, kuna tatizo sehemu.Imeishia kwa mgombea mwenza
Kwani umeona tukirudia kupiga kura!?
Magufuli alipokuja madarakani 2015 alidai kufika 2020 vyama kama Chadema vitakuwa vimekufa sasa leo Magufuli ndio amekufa na hivyo vyama ndivyo vinamzika 26/03/2021.
Mnaporopoka humu kumbukeni msiwe mbali na akili zenu haujui kesho utakuwa wapi.
Katiba haina vifungu bali ibara, kwa sasa ana miaka almost miaka minne na anaweza miaka mitano ikiwa atapata ridhaa ya chama. Hoja ilikuwa ndogo sana, kutumia mitano tena kana kwamba kwa sasa ana kipindi cha miaka mitano.
Mimi mtoto mdogo wa miaka4 mwayaKama ni mtu mzima hapo ulipo, kuna tatizo sehemu.
Je kile kinachobebwa na tume na polisi na kuhujumu uchaguzi chenyewe unakiweka kundi gani.Chama kikishabaki na operations za kwenye social media, for all intents and purposes, hicho ni defunct entity!
Nimepapenda mahala nilipo-bold.Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 na marekebisho yake yote, baada ya mhula huu mfupi wa urais wake wa kurithi kwa mujibu wa masharti ya Ibara ya 37(5), Rais Samia Suluhu Hassan anaweza kuchaguliwa tena kwa mhula mwingine mmoja. Ibara ya 40(4) ambayo ndiyo inahusika inasema hivi:
Endapo Makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa mujibu wa masharti ya ibara ya 37(5) kwa kipindi kinachopungua miaka mitatu ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara mbili, lakini kama akishika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitatu au zaidi ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara moja tu.
Obviously, kulikuwa na sloppiness katika uandishi wa Ibara ya 40(4). Limit ni ya kuchaguliwa sio kugombea. Kama hujachguliwa unaweza kugombea hata mara tano kama alivyofanya Hayati Maalim Seif kule Zanzibar. Ukiisoma ibara hii sanjari na ibara ya 40(1), utabaini kwamba walichokusudia kuweka katika ibara ya 40(4) ni ukomo wa kuchaguliwa na sio ukomo wa kugombea kama waandishi wa Katiba walivyoandika!
Kwa kuwa mhula huu mfupi unazidi miaka mitatu, Rais Samia Suluhu Hassan anaweza kugombea na kuchaguliwa tena kushika kiti hicho mara moja tu, baada ya mhula huu.
Tofauti na ilivyozoeleka, kwa uchaguzi wa 2025, Lissu na wafuasi wake (na Kambi ya Upinzani kwa ujumla) wajiandae kukimbizwa mchakamchaka na mwanamama (iwapo ataamua kugombea).

Hizo haziapply huku, zitumie huko huko ulikozisoma.Mkuu, wewe hujasoma rules za rounding kwenye Hisabati?
Urais wake wa kurithi utadumu kwa miaka 4 na miezi almost 8. Mtu anayetumia rules za rounding hawezi kusema miaka mitano?
Hizo haziapply huku, zitumie huko huko ulikozisoma.
Je kile kinachobebwa na tume na polisi na kuhujumu uchaguzi chenyewe unakiweka kundi gani.
Ujinga wenu uko hapo tu kuwa ccm inabebwa na tume,polisi,kuhujumu uchaguzi etc sasa kama mnalijua hilo mmechukua hatua gani?Je kile kinachobebwa na tume na polisi na kuhujumu uchaguzi chenyewe unakiweka kundi gani.
Wewe kwa akili zako unataka watu wafanye nini.Ujinga wenu uko hapo tu kuwa ccm inabebwa na tume,polisi,kuhujumu uchaguzi etc sasa kama mnalijua hilo mmechukua hatua gani?
Mnalalamika kwenye mitandao badala ya kujitokeza hadharani na kwa uhalisia jf ndiyo itabadilisha hali hiyo?
Polisi na tume mnawaona na kuishi nao na wengine ni ndugu zenu mnafeli wapi kuwakabili?
Trump alipewa fursa ya kuthibitisha alivyoibiwa lakini alishindwa hapa kwenye udikteta fursa kama hiyo utaipata wapi unaweza ukaletewa wasiojulikana wakumalize kabisa.Hatuwezi kuzungumzia unsubstantiated claims. Claims za aina hiyo hata Trump na wafuasi wake hazikuweza kuwabeba!
Watanzania bwana! Sasa masuala ya Mo Dewji yanaingia ingiaje hapa?Wanaomsimanga mo dewji kuwa pesa zake za urithi wamsimange na mama samia na urais wake wa kurithi
Mkuu unamaanisha nini unaposema rules za rounding kwenye hisabati?Mkuu, wewe hujasoma rules za rounding kwenye Hisabati?
Urais wake wa kurithi utadumu kwa miaka 4 na miezi almost 8. Mtu anayetumia rules za rounding hawezi kusema miaka mitano?
Mama D umeweka ka emoji ka Koroneli???Usiogope
Uhai wetu sote ni mali ya Mungu
Mi10 tena kwa mama rais Samia Suluhu Hassan[emoji1241][emoji95]
Ni kweli, lakini enzi za Lowasa maneno yalitamkwa utadhani watamkaji ndo wana mamlaka uliyoyasemaBinadamu anapaswa kupanga mambo yake kama vile atakuwepo for the foreseeable future. Hayo ya kutwaliwa yako kwenye mamlaka nyingine, isiyoshirikisha mtu yeyote!
Mkuu unamaanisha nini unaposema rules za rounding kwenye hisabati?
I thought 8 months ni zaidi ya nusu mwaka - mtu akisema miezi minane ni almost mwaka utakuwa umekosea nini, labda tuanzie hapo.
Wewe nadhani ni mgumu kuelewa, naona unahubiri hisabati kila comment wakati unaonekana ni mtupu sana, niliyokuwa namjibu nilimwambia huwezi sema Mama Samia ana miaka mitano, wakati kuna miezi kama 5 ishapita katika term hii ya pili.Kuna mtu mmoja anafanya rounding ya miaka 4 na miezi 8 kuwa miaka miaka 4. Huyo ndiye nilikuwa namuuliza kama hakujifunza rounding rules kwenye Hisabati!
Nimesema kuwa humble,Unataka kila jambo ambalo mtu anapanga kulifanya aanze kwa kusema “God willing, ...”? Do you do as you say or you just want others to do as you say?