Baada ya muhula huu, Rais Samia Suluhu Hassan anaweza kuchaguliwa kushika kiti hicho mara moja

Umeeleza vizuri sana?
Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 na marekebisho yake yote, baada ya mhula huu mfupi wa urais wake wa kurithi kwa mujibu wa masharti ya Ibara ya 37(5), Rais Samia Suluhu Hassan anaweza kuchaguliwa tena kwa mhula mwingine mmoja. Ibara ya 40(4) ambayo ndiyo inahusika inasema hivi:

Endapo Makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa mujibu wa masharti ya ibara ya 37(5) kwa kipindi kinachopungua miaka mitatu ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara mbili, lakini kama akishika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitatu au zaidi ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara moja tu.

Obviously, kulikuwa na sloppiness katika uandishi wa Ibara ya 40(4). Limit ni ya kuchaguliwa sio kugombea. Kama hujachguliwa unaweza kugombea hata mara tano kama alivyofanya Hayati Maalim Seif kule Zanzibar. Ukiisoma ibara hii sanjari na ibara ya 40(1), utabaini kwamba walichokusudia kuweka katika ibara ya 40(4) ni ukomo wa kuchaguliwa na sio ukomo wa kugombea kama waandishi wa Katiba walivyoandika!

Kwa kuwa mhula huu mfupi unazidi miaka mitatu, Rais Samia Suluhu Hassan anaweza kugombea na kuchaguliwa tena kushika kiti hicho mara moja tu, baada ya mhula huu.

Tofauti na ilivyozoeleka, kwa uchaguzi wa 2025, Lissu na wafuasi wake (na Kambi ya Upinzani kwa ujumla) wajiandae kukimbizwa mchakamchaka na mwanamama (iwapo ataamua kugombea).
 
Trump alipewa fursa ya kuthibitisha alivyoibiwa lakini alishindwa hapa kwenye udikteta fursa kama hiyo utaipata wapi unaweza ukaletewa wasiojulikana wakumalize kabisa.

Wameshindwa hata kupinga matokeo ya ubunge na udiwani (kama ambavyo imezoeleka) ili wathibitishe madai yao angalau katika ngazi hizo. Wangefanya hivyo, tungekuwa na sababu ya kufikiria kuwa pengine madai yao yana merits!
 
Wewe nadhani ni mgumu kuelewa, naona unahubiri hisabati kila comment wakati unaonekana ni mtupu sana, niliyokuwa namjibu nilimwambia huwezi sema Mama Samia ana miaka mitano, wakati kuna miezi kama 5 ishapita katika term hii ya pili.
Sasa ndio naona unahubiri kila mahali, term haikuanzia January bali mwezi wa 10. Uwe unajifunza kwanza siyo kutanguliza mdomo.

Kujihami ni moja ya mbinu ya watu wasiokuwa na hoja. Ukiwa mtupu usidhani kila mtu ni mtupu. Mtu anaapishwa Nov 5 halafu term inaanza October? Did you learn or unlearn when you went to school?
 
Wewe ni wa kwenda nae taratibu kwani inaonekana una kichwa kizito, mimi nimeanzia siku ya kutangazwa hapo ndipo anakuwa rais, hata tukichukulia tarehe ya kuapishwa, bado kuna miezi 4 imekata hapo.
 
Furahia uzuri wa JF, jukwaa ambalo linamwezesha an uneducated person kumuambia hata professor aende shule.

You could easily save your face by shutting up. Kadri unavyozidi kuongea ndivyo unavyozidi kuonesha umbumbumbu wako. Kwanza, term haianzi siku yanapotangazwa matokeo; inaanza baada ya kuapishwa. Pili, ni mtu kihiyo tu anayeweza ku-round miezi 8 kuwa zero na hivyo kusema kipindi kilichobaki ni miaka 4 tu. Kila anayejua rules za rounding atakuambia wewe ni kihiyo!
 
You must be a desperate attention seeker. Mchango wako haujaongeza au kupunguza chochote kile. Sana sana ulikimbilia kujibu bila kuelewa nilichoandika!

Mchango wangu umeongeza chachu ya kuelewa zaidi yako attention seeker unaeshambulia Watu badala ya kutoa hoja.
 
Wameshindwa hata kupinga matokeo ya ubunge na udiwani (kama ambavyo imezoeleka) ili wathibitishe madai yao angalau katika ngazi hizo. Wangefanya hivyo, tungekuwa na sababu ya kufikiria kuwa pengine madai yao yana merits!
Wapinge kwenye mahakama zipi na ya kazi gani wakati Mungu analipiza kisasi kwani wewe huoni bwana. Mema na mabaya unayofanya malipo huanzia hapa hapa duniani. Acha tuomboleze kwa amani rais wa wanyonge.
 
Wewe logics zako unazijuaga mwenyewe! Kwa hiyo hasira za Mungu zimemshukia Maalim Seif pia kwa kushindwa huo uchaguzi?
 
Mchango wangu umeongeza chachu ya kuelewa zaidi yako attention seeker unaeshambulia Watu badala ya kutoa hoja.

Wewe unarudia kile kile ambacho mimi nimesema kisha unanitaka mimi niache propaganda; niwe nasoma Katiba na kuelewa. Hiyo kama sio attention seeking behavior ni kitu gani?
 
Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 na marekebisho yake yote, baada ya mhula huu mfupi wa urais wake wa kurithi kwa mujibu wa masharti ya Ibara ya 37(5), Rais Samia Suluhu Hassan anaweza kuchaguliwa tena kwa mhula mwingine mmoja. Ibara ya 40(4) ambayo ndiyo inahusika inasema hivi:

Endapo Makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa mujibu wa masharti ya ibara ya 37(5) kwa kipindi kinachopungua miaka mitatu ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara mbili, lakini kama akishika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitatu au zaidi ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara moja tu.

Obviously, kulikuwa na sloppiness katika uandishi wa Ibara ya 40(4). Limit ni ya kuchaguliwa sio kugombea. Kama hujachguliwa unaweza kugombea hata mara tano kama alivyofanya Hayati Maalim Seif kule Zanzibar. Ukiisoma ibara hii sanjari na ibara ya 40(1), utabaini kwamba walichokusudia kuweka katika ibara ya 40(4) ni ukomo wa kuchaguliwa na sio ukomo wa kugombea kama waandishi wa Katiba walivyoandika!

Kwa kuwa mhula huu mfupi unazidi miaka mitatu, Rais Samia Suluhu Hassan anaweza kugombea na kuchaguliwa tena kushika kiti hicho mara moja tu, baada ya mhula huu.

Tofauti na ilivyozoeleka, kwa uchaguzi wa 2025, Lissu na wafuasi wake (na Kambi ya Upinzani kwa ujumla) wajiandae kukimbizwa mchakamchaka na mwanamama (iwapo ataamua kugombea).
Analizia muhula wa Magu 2025.....
kisha anagombea wake 2025/2035....
baada ya hapo tunamuongezea 10 mpaka 2045
 
Wewe unarudia kile kile ambacho mimi nimesema kisha unanitaka mimi niache propaganda; niwe nasoma Katiba na kuelewa. Hiyo kama attention seeking behavior ni kitu gani?
Yawezekan imesoma ila hujaelewa nimekuelemisha bado huelewi ni hivi Kama Samia Hassan ataongoza miaka zaidi ya minne ataruhusiwa kugombea mara moja yaani ataongoza miaka 9 akiongoa chini ya mitatu atagombea mara mbili jumla ataongoza miaka 13.
 
Nadhani kuna watu huwa mnatoa mchango bila hata kuelewa kwamba unachochangia ni kipya au unarudia alichosema mtoa maada. Mchango wako hauna kipya atakachokipata msomaji. Kimsingi, umeongeza urefu wa uzi bila kuongeza kitu chochote kipya!

Hivi wewe hata kurudia tu kusoma kilichoandikwa na mtoa mada huwezi?
 
Rais Samia,18/04/2021 aliweka wazi kuwa yeye ni rais wa awamu ya sita. Lakini kuna wahafidhina na walafi wa madaraka mule ccm wanalazimisha kuwa mama anahudumu ilani na karithi uongozi wa awamu ya 5. Wanasema hivyo ili ikifika 2025 wajenge hoja ya kukunyima fursa na utamaduni wa ccm wa kutomshindisha rais ktk kura za maoni ili aingie ngwe ya pili.

Sasa basi mama tunakushauri hawa jamaa wakicheza sebene we cheza rege ili uwavuruge, kwa sasa wakomalie hivyo hivyo kuwa hii ni awamu ya 6, na ikifika mwaka 2030 kama Mungu atakujalia pumzi, wageuke chukua fomu gombea tena na ujenge hoja kuwa kuanzia 2021 hadi 2025 ulihudumu miaka ya marehemu dikiteta magufuli, so 2025 to 2030 ndo itakuwa muhula wako wa kwanza na 2030 chukua fomu umalizie muhula wako wa pili wa 2030 to 2035, ukipiga hesabu hapo tayari miaka 14 on power hiyo. Uzi tayari.
 
Rais Samia,18/04/2021 aliweka wazi kuwa yeye ni rais wa awamu ya sita. Lakini kuna wahafidhina na walafi wa madaraka mule ccm wanalazimisha kuwa mama anahudumu ilani na karithi uongozi wa awamu ya 5...
2025 wingi ni kubwa mno. Ccm wanatunga yao, ulifika muda huo utaona wagombea 150 wanautaka urais. Wa kwanza M. M yule wa fedha
 
Rais Samia,18/04/2021 aliweka wazi kuwa yeye ni rais wa awamu ya sita. Lakini kuna wahafidhina na walafi wa madaraka mule ccm wanalazimisha kuwa mama anahudumu ilani na karithi uongozi wa awamu ya 5...
Ndivyo wazanzibar mnavyotumwanga na majini..
 
Back
Top Bottom