Baada ya muhula huu, Rais Samia Suluhu Hassan anaweza kuchaguliwa kushika kiti hicho mara moja

Baada ya muhula huu, Rais Samia Suluhu Hassan anaweza kuchaguliwa kushika kiti hicho mara moja

Rais Samia,18/04/2021 aliweka wazi kuwa yeye ni rais wa awamu ya sita. Lakini kuna wahafidhina na walafi wa madaraka mule ccm wanalazimisha kuwa mama anahudumu ilani na karithi uongozi wa awamu ya 5...
Maccm mnakurupuka hamjui tunakatiba? huwez kuongelea vitu vilivyonje takatiba
 
Katiba inamruhusu kukaa madarakani kwa muda wa miaka tisa at most.
 
Ibara ya 40 (2) ya katiba inasema hakuna mtu atakayechaguliwa zaidi ya mara mbili kuwa rais.

Rais Samia hakuchaguliwa kuwa rais.

Alichaguliwa kuwa Makamu wa Rais.

Amepata kuwa rais kwa kifo cha Rais Magufuli.

Hivyo, kwa mujibu wa katiba, hajachaguliwa hata mara moja kuwa rais.

Kwa hivyo, akigombea urais mwaka 2025, akachaguliwa kuwa rais, hiyo ndiyo itakuwa mara yake ya kwanza kuchaguliwa kuwa rais.

Na akimaliza kwa afya urais mwaka 2030, atakuwa na haki ya kugombea urais tena mwaka 2030- 2035.

Hapo ndipo atakapofikisha term limit kikatiba.

Kwa mjadala zaidi naomba tutumie vifungu vya katiba kuelimishana kama mimi nilivyotoa ibara ya 40 (2)
 
Rais Samia,18/04/2021 aliweka wazi kuwa yeye ni rais wa awamu ya sita. Lakini kuna wahafidhina na walafi wa madaraka mule ccm wanalazimisha kuwa mama anahudumu ilani na karithi uongozi wa awamu ya 5...
Hayo mambo ya tafsiri ya awamu sasaivi watu wanauchunatu.

Nimapema mno kujadili, kwa sasa inaweza kuitwa vyovyote ila ikifika 2025 tega masikioyako ndio utajua ana hudumia awamu ya ngapi.

Kuhusu kukaa madarakani inategemea utendaji, akifanya kazi nzuri na iliyo tukuka kama hayati Magufuli anaweza kuhudumu hata zaidi ya hiyouliyo itaja.
 
Katiba inamruhusu kukaa madarakani kwa muda wa miaka tisa at most.
Miaka 14 kutoka sasa. Soma ibara ya 40 (2).

Kama unayo ibara nyingine ya kuonesha miaka 9 naomba ilete hapa tuijadili.
 
Back
Top Bottom