Baada ya muhula huu, Rais Samia Suluhu Hassan anaweza kuchaguliwa kushika kiti hicho mara moja

Magufuli alipokuja madarakani 2015 alidai kufika 2020 vyama kama Chadema vitakuwa vimekufa sasa leo Magufuli ndio amekufa na hivyo vyama ndivyo vinamzika 26/03/2021.

Mnaporopoka humu kumbukeni msiwe mbali na akili zenu haujui kesho utakuwa wapi.

Chama kikishabaki na operations za kwenye social media, for all intents and purposes, hicho ni defunct entity!
 
Katiba haina vifungu bali ibara, kwa sasa ana miaka almost miaka minne na anaweza miaka mitano ikiwa atapata ridhaa ya chama. Hoja ilikuwa ndogo sana, kutumia mitano tena kana kwamba kwa sasa ana kipindi cha miaka mitano.

Mkuu, wewe hujasoma rules za rounding kwenye Hisabati?

Urais wake wa kurithi utadumu kwa miaka 4 na miezi almost 8. Mtu anayetumia rules za rounding hawezi kusema miaka mitano?
 
Chama kikishabaki na operations za kwenye social media, for all intents and purposes, hicho ni defunct entity!
Je kile kinachobebwa na tume na polisi na kuhujumu uchaguzi chenyewe unakiweka kundi gani.
 
Nimepapenda mahala nilipo-bold.
 
Nimepapenda mahala nilipo-bold.
 
Mkuu, wewe hujasoma rules za rounding kwenye Hisabati?

Urais wake wa kurithi utadumu kwa miaka 4 na miezi almost 8. Mtu anayetumia rules za rounding hawezi kusema miaka mitano?
Hizo haziapply huku, zitumie huko huko ulikozisoma.
 
Je kile kinachobebwa na tume na polisi na kuhujumu uchaguzi chenyewe unakiweka kundi gani.
Ujinga wenu uko hapo tu kuwa ccm inabebwa na tume,polisi,kuhujumu uchaguzi etc sasa kama mnalijua hilo mmechukua hatua gani?

Mnalalamika kwenye mitandao badala ya kujitokeza hadharani na kwa uhalisia jf ndiyo itabadilisha hali hiyo?

Polisi na tume mnawaona na kuishi nao na wengine ni ndugu zenu mnafeli wapi kuwakabili?
 
Wewe kwa akili zako unataka watu wafanye nini.
 
Hatuwezi kuzungumzia unsubstantiated claims. Claims za aina hiyo hata Trump na wafuasi wake hazikuweza kuwabeba!
Trump alipewa fursa ya kuthibitisha alivyoibiwa lakini alishindwa hapa kwenye udikteta fursa kama hiyo utaipata wapi unaweza ukaletewa wasiojulikana wakumalize kabisa.
 
Mkuu, wewe hujasoma rules za rounding kwenye Hisabati?

Urais wake wa kurithi utadumu kwa miaka 4 na miezi almost 8. Mtu anayetumia rules za rounding hawezi kusema miaka mitano?
Mkuu unamaanisha nini unaposema rules za rounding kwenye hisabati?
I thought 8 months ni zaidi ya nusu mwaka - mtu akisema miezi minane ni almost mwaka utakuwa umekosea nini, labda tuanzie hapo.
 
Binadamu anapaswa kupanga mambo yake kama vile atakuwepo for the foreseeable future. Hayo ya kutwaliwa yako kwenye mamlaka nyingine, isiyoshirikisha mtu yeyote!
Ni kweli, lakini enzi za Lowasa maneno yalitamkwa utadhani watamkaji ndo wana mamlaka uliyoyasema
 
Mkuu unamaanisha nini unaposema rules za rounding kwenye hisabati?
I thought 8 months ni zaidi ya nusu mwaka - mtu akisema miezi minane ni almost mwaka utakuwa umekosea nini, labda tuanzie hapo.

Kuna mtu mmoja anafanya rounding ya miaka 4 na miezi 8 kuwa miaka miaka 4. Huyo ndiye nilikuwa namuuliza kama hakujifunza rounding rules kwenye Hisabati!
 
Kuna mtu mmoja anafanya rounding ya miaka 4 na miezi 8 kuwa miaka miaka 4. Huyo ndiye nilikuwa namuuliza kama hakujifunza rounding rules kwenye Hisabati!
Wewe nadhani ni mgumu kuelewa, naona unahubiri hisabati kila comment wakati unaonekana ni mtupu sana, niliyokuwa namjibu nilimwambia huwezi sema Mama Samia ana miaka mitano, wakati kuna miezi kama 5 ishapita katika term hii ya pili.
Sasa ndio naona unahubiri kila mahali, term haikuanzia January bali mwezi wa 10. Uwe unajifunza kwanza siyo kutanguliza mdomo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…