Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Baada ya malalamiko ya waalimu wasio na ajira kuishinikiza serikali kutatua changamoto zao sasa inaonekana kuna kundi jingine la vijana wasio na ajira linaibuka.
Ukiachana na hayo makundi mawili kuna hili kundi la vijana kutoka JKT wanarudishwa makwao for fun na wanapewa wengine nafasi kwa vimemo kila mwaka serikali inatengeneza vijana wenye mafunzo ya kujua kutumia silaha na mapigano halafu wanarudi nyumbani ili wakajiajiri siku wakijazana kwa wingi na kuamua kutumia walicho jifunza kama ajira ni bomu lenye kishindo.
Ni rahisi kuwa dhibiti wasio na mafunzo lakini hawa wa mafunzo serikali haitoweza hata ifanye nini
Soma, Pia: JKT yasitisha Mikataba ya Vijana 854 waliofanya Uasi