Nitaifungulia uzi mkuu soon utajua nini kili tokeaJoohs, kuna nyuzi fulan hivi ulielezea kuhusu biashara ya kufanya na wakati huo ulikuwa na 9.6m vipi ulifanikisha hiyo biashara mkuu
Mkuu ni kweli mie n mgeni humu lkn ni mwenyeji kwa jina lingene. Mfano nliwahi kusoma nyuzi yako moja inahusiana na mambo ya Forex imekufiris na mambo mengine ya mihaso pindi ulipo maliza chuo. Lkn leo nimepita nikakutana huo uzi kuna jina ni Joohs mmmhh! Nikaufungua tena!Mkuu unajua unachekesha sana
Wewe umejiunga jamii forum Jana una nyuzi tano
Mimi huu mwaka wa 4 na nyuzi tano
Kati yangu na yako nani ananyuzi nyingi??
Unajua kabla hujahukumu mtu jiangalie wewe kwanza huko salama
Mimi sii mwandishi wa story za udaku ningekuwa nataka ningekuwa kila siku nafyatua uzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo unayosema wewe ni story ya mwaka JanaMkuu ni kweli mie n mgeni humu lkn ni mwenyeji kwa jina lingene. Mfano nliwahi kusoma nyuzi yako moja inahusiana na mambo ya Forex imekufiris na mambo mengine ya mihaso pindi ulipo maliza chuo. Lkn leo nimepita nikakutana huo uzi kuna jina ni Joohs mmmhh! Nikaufungua tena!
Anyway stori zote zinafundisha na kusisimua man. Make maisha ya mtu anayajua yeye na Mungu wake labda na wananzengo wake. Ili kwa hiyo ya Juzi nikupe pole man. Wanaume tunapitia Mengi sana
acha kunichekesha, hizo nyumba mbili zilizozungumzwa humu mbona hamna hata hao jeshi la polisi, miaka nenda rudiHawaamini.kwahiyo kama kuna nyumba inatiliwa mashaka na wakaazi wa eneo husika haiachwi .inavamiwa kukaguliwa na jeshi la polisi bila kujali ina majini au lah!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo unayosema wewe ni story ya mwaka Jana
Ilinifanya nikutane na wana jamii forum zaidi ya 10 wengine tulikuwa tumewekeana ahadi ya kukutana lakini nikiwahi kuondoka dar kunaishu nilikuja mkoani kufatilia
Hii story ni maisha yangu ya nyuma kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara Nyingi ukipita pita kwa hao waganga unakuja kuona ni upuuzi tuOk ila mapambano yako nmeyapenda sana mkuu. Ni ya kushuka milima na mabonde kweli, mi litest mishe moja hivi ila nikaona bara nmrudie Mungu
Mkuu maisha cyo mchezo kabsaaa
Kweli kabsa man! Mi niliona kama nikufa maskini acha tu nife make siyo poa wana mambo mengi mno. Yani hakuna mafanikio yanayokufa kirahisiMara Nyingi ukipita pita kwa hao waganga unakuja kuona ni upuuzi tu
No Easy money..uzuri ukishapitis huko hata kudanganyika badae inakua ngumu..unafuata njia zako safi unapata kilicho halali yako..Kweli kabsa man! Mi niliona kama nikufa maskini acha tu nife make siyo poa wana mambo mengi mno. Yani hakuna mafanikio yanayokufa kirahisi
Nilikuwa napiga story na jamaa yangu mmoja akaniambia eti wakikudaka na kiasi kidogo adhabu nayo inakua ndogo .Biashara ya Bangi ni tamuu Ila wakikuotea !!!
Nilikua natoaga Chuga nimeweka katikati ya Balo La mitumba napeleka kanda ya kati..
wajinga wakanichomea Askari nao walivyo maboya wanakagua Bangi ndani!!
ningepatikana saa hizi ningekua nimeungana na Agustino
Mishe gani hiyo.Ok ila mapambano yako nmeyapenda sana mkuu. Ni ya kushuka milima na mabonde kweli, mi litest mishe moja hivi ila nikaona bara nmrudie Mungu
Mkuu maisha cyo mchezo kabsaaa
Katika sheria nasikia iko hivyo..Nilikuwa napiga story na jamaa yangu mmoja akaniambia eti wakikudaka na kiasi kidogo adhabu nayo inakua ndogo .
Hili jambo sijui itakuwa kweli??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna picha zikikuwa zinasambaa Instagram, hadi humu jf nilikutana nazo zinaonyesha msichana yuko kwa mganga amevua nguo amechuchumaa daa Nilicheka sana nikajua ndio yale yale yaliyonikutaMara Nyingi ukipita pita kwa hao waganga unakuja kuona ni upuuzi tu
Yaani ni ujinga mtupu..Kuna picha zikikuwa zinasambaa Instagram, hadi humu jf nilikutana nazo zinaonyesha msichana yuko kwa mganga amevua nguo amechuchumaa daa Nilicheka sana nikajua ndio yale yale yaliyonikuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanaroho mbaya mtu anaenda anatoa signal kwa askari halafu anarudi kujikausha wewe unashitukua tu umewekwa mtu kati.Katika sheria nasikia iko hivyo..
Siku Hiyo wamenivamia ndo nilikua nimerudi na mzigo Ila nilikua nauacha sehemu nyingine.
Hivyo wangenipata aisee sijui ingekuwaje..
Sena mapusher wanachomana sana.
Asee kumbe hatariMkuu pole sana ,Kusukuma kete za bangi miaka ya nyuma ilikuwa afadhari,now wakikuta hata na kete 20 ndani ya basi ,unaunganishwa na kwenye kesi ya Drug trafficking, ambayo kesi yake ni miaka 30
Usijali ipo siku nitakuja na fully story na yenyewe imejaa matukio ya kusitajabu. Mi maisha niliyaanza mwaka 2005 nilipomaliza muhula wa kwanza nikiwa darasa la 3.
Ok ila mapambano yako nmeyapenda sana mkuu. Ni ya kushuka milima na mabonde kweli, mi litest mishe moja hivi ila nikaona bara nmrudie Mungu
Mkuu maisha cyo mchezo kabsaaa