Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Kwenye hicho kipengele cha kuandika ubakaji nimekiri hapo juu kuwa nilienda chaka maana kuna mdau alikuwa ameshaniuliza nikamjibu

Kuna watu kazi yao tu nikukosoa anaweza acha kazi zake zote akaanza kufukua nyuzi zote ulizoandika na comments moja moja ili tu akuprove wrong.

Ukiangalia hicho kipengele kuanzia mwaka wa tukio, gereza alilofungwa, miaka ,mahusiano vyote viko sawa

Lakini angalia watu walivyo na roho za husda wameacha vyote wanakomalia tu ubakaji , kwenye uandishi kunakuteleza kila mtu tukianza kumfanyia upekuzi kwenye nyuzi zake zote na comments tutakuta correlation ni sifuri

Hakuna mkamilifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unajua unachekesha sana

Wewe umejiunga jamii forum Jana una nyuzi tano

Mimi huu mwaka wa 4 na nyuzi tano

Kati yangu na yako nani ananyuzi nyingi??

Unajua kabla hujahukumu mtu jiangalie wewe kwanza huko salama

Mimi sii mwandishi wa story za udaku ningekuwa nataka ningekuwa kila siku nafyatua uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni kweli mie n mgeni humu lkn ni mwenyeji kwa jina lingene. Mfano nliwahi kusoma nyuzi yako moja inahusiana na mambo ya Forex imekufiris na mambo mengine ya mihaso pindi ulipo maliza chuo. Lkn leo nimepita nikakutana huo uzi kuna jina ni Joohs mmmhh! Nikaufungua tena!

Anyway stori zote zinafundisha na kusisimua man. Make maisha ya mtu anayajua yeye na Mungu wake labda na wananzengo wake. Ili kwa hiyo ya Juzi nikupe pole man. Wanaume tunapitia Mengi sana
 
Hiyo unayosema wewe ni story ya mwaka Jana

Ilinifanya nikutane na wana jamii forum zaidi ya 10 wengine tulikuwa tumewekeana ahadi ya kukutana lakini nikiwahi kuondoka dar kunaishu nilikuja mkoani kufatilia

Hii story ni maisha yangu ya nyuma kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara ya Bangi ni tamuu Ila wakikuotea !!!

Nilikua natoaga Chuga nimeweka katikati ya Balo La mitumba napeleka kanda ya kati..

wajinga wakanichomea Askari nao walivyo maboya wanakagua Bangi ndani!!

ningepatikana saa hizi ningekua nimeungana na Agustino
 
Ok ila mapambano yako nmeyapenda sana mkuu. Ni ya kushuka milima na mabonde kweli, mi litest mishe moja hivi ila nikaona bara nmrudie Mungu

Mkuu maisha cyo mchezo kabsaaa
Hiyo unayosema wewe ni story ya mwaka Jana

Ilinifanya nikutane na wana jamii forum zaidi ya 10 wengine tulikuwa tumewekeana ahadi ya kukutana lakini nikiwahi kuondoka dar kunaishu nilikuja mkoani kufatilia

Hii story ni maisha yangu ya nyuma kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabsa man! Mi niliona kama nikufa maskini acha tu nife make siyo poa wana mambo mengi mno. Yani hakuna mafanikio yanayokufa kirahisi
No Easy money..uzuri ukishapitis huko hata kudanganyika badae inakua ngumu..unafuata njia zako safi unapata kilicho halali yako..

wale wase**e wanakufanya kama mtumwa mtchieew
 
Biashara ya Bangi ni tamuu Ila wakikuotea !!!

Nilikua natoaga Chuga nimeweka katikati ya Balo La mitumba napeleka kanda ya kati..

wajinga wakanichomea Askari nao walivyo maboya wanakagua Bangi ndani!!

ningepatikana saa hizi ningekua nimeungana na Agustino
Nilikuwa napiga story na jamaa yangu mmoja akaniambia eti wakikudaka na kiasi kidogo adhabu nayo inakua ndogo .

Hili jambo sijui itakuwa kweli??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa napiga story na jamaa yangu mmoja akaniambia eti wakikudaka na kiasi kidogo adhabu nayo inakua ndogo .

Hili jambo sijui itakuwa kweli??

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika sheria nasikia iko hivyo..

Siku Hiyo wamenivamia ndo nilikua nimerudi na mzigo Ila nilikua nauacha sehemu nyingine.

Hivyo wangenipata aisee sijui ingekuwaje..
Sena mapusher wanachomana sana.
 
Kuna picha zikikuwa zinasambaa Instagram, hadi humu jf nilikutana nazo zinaonyesha msichana yuko kwa mganga amevua nguo amechuchumaa daa Nilicheka sana nikajua ndio yale yale yaliyonikuta

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ni ujinga mtupu..
ukiota tu unanyanyua simu kwa mganga..
ukikohoa kidogo kwa mganga..
mtoto akilegea kwa mganga
Biashara ikizubaa kwa mganga..
Masharti yao sasa..

Jamani Vijana tutafute pesa kwa Nguvu zetu Na maarifa tuliyojaaliwa.
 
Katika sheria nasikia iko hivyo..

Siku Hiyo wamenivamia ndo nilikua nimerudi na mzigo Ila nilikua nauacha sehemu nyingine.

Hivyo wangenipata aisee sijui ingekuwaje..
Sena mapusher wanachomana sana.
Kuna watu wanaroho mbaya mtu anaenda anatoa signal kwa askari halafu anarudi kujikausha wewe unashitukua tu umewekwa mtu kati.

Kama mtaani unamaadui wengi unabaki kuchanganyikiwa kuhusu nani amekufanyia setup

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mishe gani hiyo.

Ebu tupe story mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Usijali ipo siku nitakuja na fully story na yenyewe imejaa matukio ya kusitajabu. Mi maisha niliyaanza mwaka 2005 nilipomaliza muhula wa kwanza nikiwa darasa la 3.

In short nilitaka kuwa mtoto wa mitaloni nilitoka kijijini nikaingia mjini pale wilaya ya Tarime. Nakumbuka ilikuwa siku ya j'mosi ndipo niliondoka home tena nakumbuka tulikuwa tumeliza kumenya mihogo mida ya jioni. Nilipoenda kutupa maganda ya mihogo nikapitiliza mpaka kijiji jirani nikalala kwa sister. Kule bana kila siku ya j'pili huwa ni mnada mjini. Basi kesho yake ilikuwa jumapili nikaondoka mpaka mnadani. Nikaenda nikadhurura bila hata sent mia mfukoni ilipofika saa 9 jioni nikageuza kurudi kwa dada.

Nilipofika tu kwa dada nikaambiwa baba kaja kukutafuta! Nikajua hapa nimeisha maana baba alikuwa ni moto wa kuotea mbali nikakaa nikiwa nafikiria njia ya kutoroka kutoka pale kwa dada niingie mjini afu badae nisepe Mwanza. Nimekaa mpaka usiku chakula kikaiva tukala na pamoja na watu wa pale make ilikuwa ni mji wenye watu wengi sana. Afu huku wakinishangaa kuwa mtoto mdogo afu mgeni amefikeje mjini bila ruhusa ya wakubwa!? Kichwani mi nikisema mgejua mi nina mpango wa kwenda Mwanza hata msingeuliza hayo maswali.

Basi hatimaye tukaingia kulala bana. Mpaka ikafika asubuhi nikaamuka japo bado nilikuwa mdogo kama mwenye miaka 10 hivi nikaenda shambani kuvuna mahindi tumevuna mpaka saa 4 asubuhi tukatoka na kwenda nyumbani. Mara wakati nasubiri uju nikamuona baba huyo. Nikajua hapa nimekamatwa na adhabu yangu nilijua itakuwa n zaidi ya mateso ya Yesu. Nikaendelea kuchili. Baba wakawa wanazungumza na baba mkwe wake na dada yani sanzi yake huku akinikata jicho baya sana kichwa najisemea leo utaoniona kuwa nimeamua kutoka kwako mzee............ kwa leo niishie hapa ila nilikuja kuwa mpole sana mpaka leo hii nipo chuoni Mwaka wa 3
 
Back
Top Bottom