ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Lisu ndio ataleta Katiba? Hiyo itategemea kama watu wako tayari kuingia barabarani wakiitwa.Samia atamaliza muda wake 2025- 2030. Ila ili tuweze kupata Katiba Bora kabisa inayowabana vizuri wanasiasa na kuifanya waiheshimu ni muhimu upinzani sasa ukaongozwa na Tundu Antipass Lissu. Nguli wa Sheria ambaye hajawahi tokeo before hapa Tanzania.
Japo kwangu binafsi Katiba haijawahi kuwa na maana mahala popote Kwa sababu haijasaidia yeyote huko kwingineko zaidi ya Wanasiasa so hata tukienda hivi hivi ni sawa kabisa.👇👇
View: https://x.com/Kenyans/status/1879428166047154306?t=0_mlVYqe3X13loguCEk4Cg&s=19