Baada ya Nyerere kuighafirisha TANU mwaka 1967, Inawezekana Tanzania ikapata zawadi ya chama makini zaidi baada ya uchaguzi wa CHADEMA

Baada ya Nyerere kuighafirisha TANU mwaka 1967, Inawezekana Tanzania ikapata zawadi ya chama makini zaidi baada ya uchaguzi wa CHADEMA

Samia atamaliza muda wake 2025- 2030. Ila ili tuweze kupata Katiba Bora kabisa inayowabana vizuri wanasiasa na kuifanya waiheshimu ni muhimu upinzani sasa ukaongozwa na Tundu Antipass Lissu. Nguli wa Sheria ambaye hajawahi tokeo before hapa Tanzania.
Lisu ndio ataleta Katiba? Hiyo itategemea kama watu wako tayari kuingia barabarani wakiitwa.

Japo kwangu binafsi Katiba haijawahi kuwa na maana mahala popote Kwa sababu haijasaidia yeyote huko kwingineko zaidi ya Wanasiasa so hata tukienda hivi hivi ni sawa kabisa.👇👇

View: https://x.com/Kenyans/status/1879428166047154306?t=0_mlVYqe3X13loguCEk4Cg&s=19
 
Back
Top Bottom